Belle 9 anajua sana

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,658
20,903
huyu dogo anajua sana kuimba. leo nimesikiliza wimbo alioshirikishwa na niki wa pili unaitwa hatuendani nimmemkubali sana. ana nyimbo kali nyingi sana kama ladha ya penzi, masogange, wanitaka na listen. sijui kwanini hajawahi pata tuzo za kili? au amewahi?
 
Nyie ndo mnaomkwamisha, inaonyesha huwa humfatilii, leo umeusikia huo wimbo kwa bahat mbaya (ambao ni wa siku nyingi) ndo umegundua anastahil tuzo. Ungekuwa unamfatilia ungejua km anatuzo au la, na ungekuwa unakumbuka kumpigia kura
 
ebana kama umeniona, mi ndo nimeitazama saiv video ya msodoki na ngosha. Ameimba chorus,. Aisee wameua humu ndani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom