Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
- Thread starter
- #41
Gosh Kloro....ngoja nikalale sasa kabla sijahamishia bifu pande hizi.Ila nakuasa TAMAA MBAYA!!!Alafu nilifeli chekechea kwahiyo bailojia hua nasikia tu mtaani!!
lizzy acha bwana kulumbania Post yangu na belinda, kama una contact zake nipe nipe nipe nakuomba