Habar Sky, hujambo. Leo ndiyo naona kwa upande wangu JF inafunguka kama zamani.
Habari za kupoteana, I was 98% incommunicado if total
Sawa na Trump na CCM! Majitu CCM yameiba kura bado yanashangilia "ushindi"! Trump anajua fika ameshindwa, lkn anangagania Ikulu na kuteua mawaziri! Mmoja wa Senetors, amasikitika kuwa it is a pity waamerika wanafaya yanayofanywa na Third world countries ambayo wamekuwa wakiyakemea!