Huyu sio beki tatu atakuwa ombaomba
Tehkuna mdada(binti mdogo) aliongozana na mtoto analia kamasi zmetapakaa nkamuuliza kwani nin humtulizi mtoto anyamaze hata kwa kumnyonyesha, akanijbu huyu hana baba na mimi sina baba dawa yake c titi ni kumpata baba! duuu!
unamlpa tsh 20000 unategemea nn
Tayari ant-mshana jr ameishashusha timu yake. ...ila nafaham kuwa kazi ya Fasihi ni Kuelimisha na kuburudisha ....sasa unapomkashifu mtu na wakati yeye Kaja kuburudisha tu jukwaa unamaana gani. .??..Kila mtu anafaham kuwa siyo wa kwao huyo....nn shida kwann wewe tu. ??...
Mshana umemsoma ajuza aka mjane mweusi?
eti mama yuko juu ya daraja la watembea kwa miguu na blah blah nyingine kibao...sasa sijui mitungi ya gesi inangoja nini juu ya daraja
Katika maisha kuna watu huna haja ya kujibizana nao...unachokifanya ni kuwashughulisha tuu
Hata fikra yako bado ni nadharia,hata kama amedangaya haina madhara ya kuumiza yoyote,bali kufikirisha na kufanya muda uendeUmemuamini mleta mada kuwa huyo ni "beki tatu" wao?
Mleta mada ni muongo wa kutupwa. Hiyo picha inaonesha huyo mama yupo daraja la watembea kwa miguu amma anaomba omba amma ana biashara zake amma kujikumbusha tu na kamfunga mwanae miguuni.
Huyo anaejiita Mshana Jr. mimi huwa nnasema mara nyingi sana, kazi yake ni kupotosha na kudanganya umma kupitia JF.
Sielewi huwa anapata faida ipi anapopotosha watu.
Hakika huyo ni shetani mpotoshaji.
Muwe makini sana na mabandiko yake.