Beki tatu wetu mkali kuliko demu wako..

Beki tatu wetu mkali kuliko demu wako..

Ndio matatizo ya shule zikifunga mods tafadhali wekeni jukwaa la watoto
 
Aisee ww mkali,kwa hiyo posh ni beki tatu wenu.uongo mchana kweupe au nikupe na namba yake
 
Kabla ya salam naomba niseme kuna watu wameumbwa huku duniani..
Natumai mu wazima wote.

Leo namleta kwenu beki tatu wetu uniambie kama demu wako anaona ndani..[emoji28]

Sifa ya kwanza beki tatu wetu hajui kiswahili..
Ni ngeli tuu inatembezwa humu ndani[emoji28][emoji28]
Utasikia G the tea is ready,mara G lets go shopping au G you have a guest ivyo yaan muda wote mtoto hana kabisa uswahili.

Sifa ya pili beki tatu wetu ni mkali yaan mtaa mzima wanamuelewa..Nikitembea nae utazani ndo jiko lenyewe mpaka kuna wakati nishafikiria kumuacha demu wangu.

Sifa ya tatu beki tatu wetu anajua kuvaa yaan si mtu wa outing kiivyo lakini hayo mapigo yake apo ndani lazima ukae chini mobeto akasome.

Mtoto ni msafi bhana asikuwambie mtu,saa kumi na moja mtoto yuko jikon kwenye saa mbili kamaliza kila kitu..utasikia G am tired.

Mapishi yameenda shule,habahatishi kama kina mwajuma wenu.[emoji28][emoji28]

Ni mpole halafu haongei sanaa sijawahi kumuona kakasirika.

Mtoto bado mchanga atakuwa bikra huyu..[emoji28][emoji28] sijawahi kumsikia akiongelea maswala ya wanaume kabisa yaan.

Sasa kuna watu watabisha we ushawahi ona wapi beki tatu yuko Instagram followers kama 100k ivi..[emoji28][emoji28][emoji28]

Unabisha tuma picha ya beki tatu wenu..View attachment 962510
Mash-Allah[emoji7]
 
Ukali wa huyo binti ni nini?
Kuongea kiingerza?
Kuwa na matako makubwa?
Au nini zaidi kilichokuchanganya mkuu nakushauri tembea uone kuna wanawake warembo kuliko huyo muosha vyombo wa hapo kwenu,zaidi msifie baba yako maana aweza kuwa anapumzika
 
Stashahada what is stashahada[emoji28][emoji28]
Mtake razi dada wa watu kaitimu shahada sijui stashahada IFM
Anishukuru mimi kwa kumsifia..BTW hii post sio offensive kiivyo tatizo lako unazarau beki tatu.
 
Kwa kweli ujue nimewaza ntawapata wapi watoto wenzangu kama wewe nikaambiwa upo humu.[emoji28][emoji28]
Mimi nina mtoto anaweza kumuoa na kumpa mimba huyo beki 3 wenu

Inabidi uniamkie..
 
Nenda urudi uturetee Beki wa kati au Kiungo mshambuliaji
 
Back
Top Bottom