bablon6
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 630
- 568
Nataman kwel ningesoma ila Sijasoma hapo ulivosema R na LNiwaREtee ili..wakurya shule mnaendaga kufanya nini kama hadi leo hamjui tofauti ya R na L
Nimewaza PS tu[emoji57]
Nataman kwel ningesoma ila Sijasoma hapo ulivosema R na LNiwaREtee ili..wakurya shule mnaendaga kufanya nini kama hadi leo hamjui tofauti ya R na L
mkuu nisaidie namba ya poshyqueen pmMimi namjua vzr sana na mpaka namba yake ninayo
Hapana wala si zarau mbona na mm beki tatu sema tunatofautiana wizara huyo dada najua anafahamika sana watu wanampost sana yaan ndio mdada anaye kick kwa sasa nime comment kama kuzingua mtu anakomenti anavyoonaStashahada what is stashahada[emoji28][emoji28]Anishukuru mimi kwa kumsifia..BTW hii post sio offensive kiivyo tatizo lako unazarau beki tatu.
Mkuu uzungu mwingi hadi unasahau lugha yako stashahada ni DiplomaStashahada what is stashahada[emoji28][emoji28]Anishukuru mimi kwa kumsifia..BTW hii post sio offensive kiivyo tatizo lako unazarau beki tatu.