Beki tatu: Nifanye kama ulivyonifanya jana

Beki tatu: Nifanye kama ulivyonifanya jana

Kwa kifupi , umebaka kwa kadri ya maelezo yako.

Pili, nyota ya ngwegwe inakukalia kila kona.

Mwisho, rudi shule maana kwa uandishi huo naamini utakuwa mwanafunzi wa kidato.
 
picha ya uyo "beki tatu" kwanza
IMG-20170327-WA0026.jpg
 
Hakuna Mimba zinawahi kushika fasta kama za ma house girl...jiandae kua baba siku si nyingi...
 
Ongezea minofu kidogo, alafu itafutie gazeti moja la kibongo uipeleke hii hadithi yako. Ni nzuri kwa wanaopenda tamthilia za magazetini.
 
hadi hao maboss zake wanaenda kazini wewe bado uko nyumbani!!!! wewe utakuwa unakula kwa shikamoo.
 

Attachments

  • tapatalk_1471242596986.jpeg
    tapatalk_1471242596986.jpeg
    20 KB · Views: 55
Back
Top Bottom