mkuu
nilikuwa nampiga mkewangu ku change dada kila baada ya mwaka ila nilikuja muunga mkono kipindi flani..mpaka leo nilimpa salute...
dada hatakiwi kukaa zaidi ya mwaka au hata miezi 6..akishaanza zoea mazingira ni usumbufu na ataleta matatizo..so hapewi upenyo ..ata awe mzuri vipi..msome sana...akikaa sana miaka miwil tena huyo unajua ni mstaarabu ametulia kwel kwel...kuna mmoja tulikaa nae mwaka...akaanza zoeana na vijana wa mtaani..tukisepa wanakuja kufanya yao..dogo anaona kumbe..nikaja kuitwa na mkewangu shule mwanangu anabambia watoto wa kike tukawa kama tunapewa onyo tusifanye mchezo mbele ya mtoto...
sasa mimi na wife tuliumiza sana kichwa maana most time dogo analala na dada yake akilala na sisi mara chache labda sikuiyo umekuta mie nimechelewa kurud ameshinda jion na mama yake wanalala..na mimi nikimkuta kalala wala sinaga mambo y kusema nikampeleke kwa beki tatu..afu mipepe mi na wife tunakula na ratiba moja moja ambazo dogo hayupo home....
mimi ni mpenda ligi sana nipo hivyo .nikamwambia mamaa huyu dada atakuwa anaangalia pilau kwa simu maana dogo anachezea sana masimu ikikaa kizembe..nitafanya research..ila am sure sisi sio tatizo..akaniachia zoezii..bwana weee...nikanza research mtoto akitoka shule mchana ule muda namim natoroka mzigoni chap narud gafla home napiga mahesabu mtoto anakuwa karud kalala au anacheza (saa tisa mpaka saa 11) ndo mida ya kupiga ambush maana watever happens ndo mida hii mpaka dogo anaona..asubuhi ngumu ..nilikuja kukuta beki tatu anskunjwa sitting room afu mwanangu wamempa simu wamemuweka chumbani...
nilifunga mlango waliruka ao..nikaulizs mtoto yupo wap..wakasema room..nikamuita..(nijue dogo atakuja au atasema baba nifungulie)..dogo akaja ..ase...nikamwambia dada ulishindwa mpeleka mtoto kwa jirani wakacheze na wenzie au ukampa dada wa jirani akae nae umalize upuuzi wako unafanya ndani mwanangu akiwepo na anaona upuuzi wenu anaenda wafanyia wenzie..nikamwagiza mpeleke mtot kwa jiran arudi niongee nao wote..yule kijana akabaki...alienda alivorudi..daah...long story short kwanza niliwekwa ndani siku ile nikatolewa asubuhi...yule kijana alilazwa week ...yule dada ndugu zake walimsafirisha ndugu yao na mguu una POP...majirani waliita polisi niwekwe ndani maana usiku ule waliniambia kiroho safi upumzike tu ulale humu hasira zikipungua asubuhi unarejea kwako..ila kwa hali hii tumeitwa ata tukikuachia ukalale kwa ndug yako au lodge unaweza kurudia yule mtu..wakanilaza selo ya wanawake maana ilikuwa haina watu wakanipa na mto ase...

...