Beki tatu kamchemshia mwanangu parachichi

Beki tatu kamchemshia mwanangu parachichi

madame umeongea kwa uchungu. Hao wanaotetea huo upuuzi hebu tuwaulize kama watoto wao huwa wanawapa ruhusa ya kwenda kutiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruhusa ya kwenda matembezi sio kutiwa. Matembezi ni maximum two hrs kuanzia saa 10 hadi 12 kamili jioni kwa siku za J1 na J2 tu, inaweza kuwa kila wiki au juma la mwisho wa mwezi. Kumfungia msichana mwenye miaka ishirini ndani sioni kama ni sawa. Anaepaswa kuwa monitored 24 hrs ni yule ambaye ni under 18.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna uzoefu mkuu.

Kuna wakati unaletewa na madalali ambao huwa anawaambia akae mwezi mmoja au miwili akizidisha matatu then asepe. Wewe unajua ushapata binti wa kazi kumbe mwenzio anapita tu...

Ndani ya mwaka unakuwa Umebadilisha wengi kumbe dalali anakula hela ya nauli kila baada ya miezi mmoja au miwili.... Na anawatafutia wengi kwa mitindo huo. Hatari sana mjini
Kuna mmoja alikuja nikamtimua siku hiyo hiyo. Madalali watu wabaya sana. Sitaki kabisa udalali kwenye wadada wa kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisikia maelezo ya yule nani yao sijui, maelezo yake yalikuwa yamejikita kwenye huo upande kabisaaa
Ruhusa ya kwenda matembezi sio kutiwa. Matembezi ni maximum two hrs kuanzia saa 10 hadi 12 kamili jioni J1 na J2 tu, inaweza kuwa kila wiki au juma la mwisho wa mwezi. Kumfungia msichana mwenye miaka ishirini ndani sioni kama ni sawa. Anaepaswa kuwa monitored 24 hrs ni yule ambaye ni under 18.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezngua sana mkuu kumtjmua yule beki tatu mkuu. Alikuwa ananipa huduma pendwa.
 
Back
Top Bottom