Beki tatu kamchemshia mwanangu parachichi

Beki tatu kamchemshia mwanangu parachichi

Wanagegedwa kuliko hata weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚we nyau kweli nimecheka kama fala dah😁😁😁😁😁😁
 
Huu Uzi umenipa idea yakuanzisha kampuni ya wasaidizi wa kazi zanyumbani.



HOUSEKEEPER FOR HIRE.

Yaani wafanyakazi wandani Wadada wa kazi na wanje shamba boi ma professional Yaani waliobebea ambao wanajua kazi zao sio hapo mnaowatoa makambako unawaleta mjini hata kutumia jiko la gas shida Yaani niwale walionaujuzi na wanaojiheshimu nakuheshimu kazi zao.

Just idea guys vipi mtani support wanajamvini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan huyo ni binti wako si beki3 ww kaz yako kumlipa kazi yake kumaliza kazi zake akafanye yake na tena ukimbana ndo atakuwa anawaleta hadi nyumbani wampigie kweny kochi unalopenda kukaa.
Bila shaka wewe utakuwa ndiyo mgegedaji mwenyewe! Siyo kwa kukomaa huku
 
Nilipata beki tatu mpya baada ya wa mwazoni kuondoka
Kusema kweli mabeki tatu Ni changamoto huu mwaka nimekuwa na mabeki tatu wanne huyu Ni wa tano.
Wengine niliwatoa maana walikuwa wanagegedwa kuliko hata mimi.watoto wadogo ila wanapenda chini sana .sikupenda mabinti wadogo watoto wa watu waharibike maana Mimi Nina experience ya wanaume sitamani kabisa kuona binti mdogo anawekeza kwenye k.haina faida kabisa.japo sikomi natafuta mchumba mzee bado
Jana nilimuambia Dada tunda la dogo la siku Ni parachichi.kumbe alimchemshia leo dogo anaendesha tu maskini .
Watoto wetu Hawa Mungu awalinde tu maana tunawaaΓ§ha lazima tuhangaike
Kuna siku nilikuta dogo anapewa chakula kina chumvi balaa kakabwa anameza tu maskini .nilivoonja nililia yaani
Nilikuwa naponda sana watu wanaopeleka watoto wadogo boarding school ila majumbani changamoto Ni nyingi mno.


Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu nyinyi mama wenye nyumba amuwapi semina elekezi ma house girl wenu, unatakiwa ukimleta mfanyakaz wa nyumbani umfundishe majukum yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nia snitch kwa mkeo.
Toka lini baba akamuelekeza house girl kazi za ndani? Kwanza mazoea na house girl mpaka mnamsema mama mjengo yameanza lini? Kwanza rudisha 90,000 ya watu apeleke vicoba
Mimi ma beki tatu wote wazuri ila tatizo mama mwenye nyumba, daah akinikuta nnamuelekeza dada namna ya kufanya usafi hasa katika vifaa vyangu vya electronics lazima apate wivu, baada ya wiki utashangaa dada anaaga anasema kaka wewe mtu mzuri sana isingekuwa mkeo ningefanya kazi hata bure huyu ni wa mwisho ujumbe ule uleView attachment 1306948

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipata beki tatu mpya baada ya wa mwazoni kuondoka
Kusema kweli mabeki tatu Ni changamoto huu mwaka nimekuwa na mabeki tatu wanne huyu Ni wa tano.
Wengine niliwatoa maana walikuwa wanagegedwa kuliko hata mimi.watoto wadogo ila wanapenda chini sana .sikupenda mabinti wadogo watoto wa watu waharibike maana Mimi Nina experience ya wanaume sitamani kabisa kuona binti mdogo anawekeza kwenye k.haina faida kabisa.japo sikomi natafuta mchumba mzee bado
Jana nilimuambia Dada tunda la dogo la siku Ni parachichi.kumbe alimchemshia leo dogo anaendesha tu maskini .
Watoto wetu Hawa Mungu awalinde tu maana tunawaaΓ§ha lazima tuhangaike
Kuna siku nilikuta dogo anapewa chakula kina chumvi balaa kakabwa anameza tu maskini .nilivoonja nililia yaani
Nilikuwa naponda sana watu wanaopeleka watoto wadogo boarding school ila majumbani changamoto Ni nyingi mno.


Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kazi ulee mwanao, ww unataka nani akulelee wanao??. Ukimaliza kulea ndio tafuta kazi endelea na mishe zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi pia nilikuta yalinikuta kama haya aiseeee nilikunja dada nikakaba, nikabamiza ukutani.
Aliokolewa na baba yangu.
Sijui ingekuwaje.
Hiyo kitu inaumiza sana aiseeeeee.
Maumivu yake hayaelezeki.
mkuu
nilikuwa nampiga mkewangu ku change dada kila baada ya mwaka ila nilikuja muunga mkono kipindi flani..mpaka leo nilimpa salute...
dada hatakiwi kukaa zaidi ya mwaka au hata miezi 6..akishaanza zoea mazingira ni usumbufu na ataleta matatizo..so hapewi upenyo ..ata awe mzuri vipi..msome sana...akikaa sana miaka miwil tena huyo unajua ni mstaarabu ametulia kwel kwel...kuna mmoja tulikaa nae mwaka...akaanza zoeana na vijana wa mtaani..tukisepa wanakuja kufanya yao..dogo anaona kumbe..nikaja kuitwa na mkewangu shule mwanangu anabambia watoto wa kike tukawa kama tunapewa onyo tusifanye mchezo mbele ya mtoto...

sasa mimi na wife tuliumiza sana kichwa maana most time dogo analala na dada yake akilala na sisi mara chache labda sikuiyo umekuta mie nimechelewa kurud ameshinda jion na mama yake wanalala..na mimi nikimkuta kalala wala sinaga mambo y kusema nikampeleke kwa beki tatu..afu mipepe mi na wife tunakula na ratiba moja moja ambazo dogo hayupo home....

mimi ni mpenda ligi sana nipo hivyo .nikamwambia mamaa huyu dada atakuwa anaangalia pilau kwa simu maana dogo anachezea sana masimu ikikaa kizembe..nitafanya research..ila am sure sisi sio tatizo..akaniachia zoezii..bwana weee...nikanza research mtoto akitoka shule mchana ule muda namim natoroka mzigoni chap narud gafla home napiga mahesabu mtoto anakuwa karud kalala au anacheza (saa tisa mpaka saa 11) ndo mida ya kupiga ambush maana watever happens ndo mida hii mpaka dogo anaona..asubuhi ngumu ..nilikuja kukuta beki tatu anskunjwa sitting room afu mwanangu wamempa simu wamemuweka chumbani...

nilifunga mlango waliruka ao..nikaulizs mtoto yupo wap..wakasema room..nikamuita..(nijue dogo atakuja au atasema baba nifungulie)..dogo akaja ..ase...nikamwambia dada ulishindwa mpeleka mtoto kwa jirani wakacheze na wenzie au ukampa dada wa jirani akae nae umalize upuuzi wako unafanya ndani mwanangu akiwepo na anaona upuuzi wenu anaenda wafanyia wenzie..nikamwagiza mpeleke mtot kwa jiran arudi niongee nao wote..yule kijana akabaki...alienda alivorudi..daah...long story short kwanza niliwekwa ndani siku ile nikatolewa asubuhi...yule kijana alilazwa week ...yule dada ndugu zake walimsafirisha ndugu yao na mguu una POP...majirani waliita polisi niwekwe ndani maana usiku ule waliniambia kiroho safi upumzike tu ulale humu hasira zikipungua asubuhi unarejea kwako..ila kwa hali hii tumeitwa ata tukikuachia ukalale kwa ndug yako au lodge unaweza kurudia yule mtu..wakanilaza selo ya wanawake maana ilikuwa haina watu wakanipa na mto ase......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom