profftobe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 906
- 939
Umesema vyema linguistics, kudos kwako.Wengi wanakuwa bado mabinti wadogo bro..
Kutiwa iwe kwa staha basi na pia sio iwe routine Kama mke wa mtu
Akitiwa mimba anatelekezwa bila msaada wowote, hapo ukute ni mimba na ukimwi.. Acha hizo basi think wider
Nadhani baadhi ya wachangiaji wa mada hii hawana uzoefu na wanachochangia. Wale mabinti wa kazi wanapokuwa pale nyumbani wanatakiwa kuwa treated kama wana familia/watoto wengine wa pale nyumbani. Sasa kama ni haki yao kutiwa mbona hao wanaoshadadia wasiruhusu pia na watoto/mabinti zao waliowazaa wakatiwe tu kila jumamosi kwani mabinti zao wao sio binadamu hawapendi kutiwa? Kwa nini wanawazuia?
Issue ya kupumzika labda jumamosi wakati mama mwenye nyumba yupo iko kibinadamu zaidi ili binti apumzike na kama kwao ni karibu basi anaweza kwenda kuwaona/kuwasalimia wazazi/ndugu zake wa damu. Siyo eti kisa yuko mapumziko basi ruksa kwenda kutiwa au kufanya ujinga mwingine wowote hule, hapana.
