Beki kukaba!

Beki kukaba!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(BABA):Binti yangu, kuanzia leo kila ifikapo saa 11 jioni unatakiwa uwe ndani ya nyumba,sawa?
(BINTI): Lakini baba mimi si mtoto mdogo tena,nimekua na ninajua ninachokifanya!

(BABA): Najua umekua na ndo maana nataka saa 11 jioni uwe ndani!
 
ukabaji huu unaitwa 'man to man'
 
mzee anakumbukia uharibifu aliokuwa akifanya enzi zake...its pay back time..
 
kwani asubuhi mpaka saa 11 kasoro hakabiki au muda huo sio wa hatari mi naona mkabaji anaruhusu cross tu
 
kwani asubuhi mpaka saa 11 kasoro hakabiki au muda huo sio wa hatari mi naona mkabaji anaruhusu cross tu
<br />
<br />
Anaruhusu 'X' kwa sababu ana mabeki warefu!
 
Back
Top Bottom