Beki 3 Wangu

hebu mwanaume ambaye hajawahi kutamani beki3 hata siku moja abonyeze LIKE kwa hii comment kabla sijaendelea
 
wewe na mkeo wote ..................
 
I am luck and you have to put things in control wangu anasuka Mara Moja kwa mwezi it cost a about 15 - 20

 
Mkuu avatar yako na kukemea ni vitu viwili tofauti,ila nilichofanya nimesoma upya ujumbe wako bila kuiangalia.
hilo ni pepo tu, kwa jina la yesu lishindweeeeeeeeeeeeeeee.... na tamaa katika mind set yako............yaan unamtamani mschan wa kazi? ww c babab mzuri wa familia aisee.....!
 
Mkusa kama kweli unapenda ilo pepo la kumtamani beki 3 wako liondoke, mshirikishe wife wako, nadhani atakusaidia sana na baada ya kumshirikisha usisahau kutujuza kisanga kitakachotokea
 
Hujastukia tu kuwa huyo ni mumeo na atakae tupiwa virago ni wewe?

Hahahaaaa! Kimekuuma! Poye! Mie alwatani mjini hapa, akinitupia virago ajue ILL BE TAKING HALF OF HIS HARD EARNED ASSETS FREE OF CHARGE! LOLEST! Nikunga na grounds za ADULTERY no one can stop me mzazi!! Divorce MRADI MKUBWA mujini siku hizi.
 
Labda ya serikali kama ya kanisa mfano wasabato utazisikia tu hizp mali kwenye speaker
 
Wewe haielekei kama unasali na kufunga ili uepushwe na hiyo tamaa, bali unaomba upate chance tu umtafune huyo kimwana. Kama anakuvutia sio mbaya ukaonja kidogo, ila angalie usinogewe ikawa tabu. Hiyo kitu ni starehe tu ndugu yangu, hakuna kulaza damu.
 
baba Jack huyo beki tatu umeshakula tayari vipi mtamu lakni usiendelee kukamua!!!!!!! ndo kawaida zetu hizo
 
Si ndo Nashanga why wananishambulia ilhal mie nimeamua kuwa wazi
 
Speaker , Mie Mkristo, ila Biblia imetuasa kukimbia Vishawishi,
sasa jaman mlitaka mie ndo nikimbie kwangu?
 
Nimekusoma Mkuu, ahsante kwa input yako, wengi wamenishambulia badala ya kunisaidia
 
Kazi kweli kweli
Leo naenda kumtamani house boy wangu
Bangi nibangue nikafanikiwe hili

Ukimshamtamani, we muundie Zengwe kwa Shem, Fastaaa atatimuliwa, Kimbia Dhambi, Ikimbie Zinaaa Kongosho Dadaangu
 
Last edited by a moderator:
Kazi kweli kweli
Leo naenda kumtamani house boy wangu
Bangi nibangue nikafanikiwe hili

Ukimshamtamani, we muundie Zengwe kwa Shem, Fastaaa atatimuliwa, Kimbia Dhambi, Ikimbie Zinaaa Kongosho Dadaangu
 
Last edited by a moderator:

When you are face to face with temptation, look for the way out that God has promised and then run as fast as you can.
 
Ni Mwezi wa 4 sasa tangu huyu Binti atu join hapa kwetu, mwanzoni siku note but as days goes on, Huyu Bint anazid ku change na kutamanisha, sio mimi tu bali hata washakj wanaonitembelea hawaachi kumwaga comments zao....
Hivi ni nini kinafanya Beki 3 awe 'haramu'?:A S 39:

Vipi kama mmoja wa washakj zako akianza mahusiano na huyo Beki 3 wako, utajisikia wivu? Kwa nini?
 
Nimekusoma Mkuu, ahsante kwa input yako, wengi wamenishambulia badala ya kunisaidia

Pamoja Mkuu.. Hapa JF kuna watu ambao wanajifanya wao hawana shortcomings.. Wanashindwa kutoa boriti kwenye macho yao.. Wanaona vibanzi kwenye macho ya wenzao.. Haya mambo yapo na humu wapo wenye tabia mbaya zaidi.. Nafci zinawasuta lakini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…