Being a wife material sucks

Sifa moja kubwa sana ya mwanaume hupenda kuoa mke ambae anapafanya nyumbani pawe mahala tulivu na salama kwa kutuliza mawazo yake, uchovu na bughudha za mihangaiko yote ya siku ktk utafutaji mkate wa kila siku. Sio mwanamke anaesababisha mumewe kutamani jioni isifike ili asirudi nyumbani. Wanawake wengine ni kero tupu, anakufanya upachukie nyumbani badala ya kupapenda
 
You are desperate my sister...relax and be yourself someone will settle for the real you
You can also read this book "Why men marry bitches" it can help you understand maybe....
 
Weka kapicha plz..Tuone ulivyo mzuri.....

PRIDE is the major problem to educated ,,,,classy...., girls
A man interested to live with a woman whom is obedient&Respect him.
 
Nilichokielewa ni kweli ulikua unapretend kua mtu ambae sio ili upate kuolewa,
Pia unahofia umri umeenda so unaanza kukata tamaa,
Pia una wivu unapoona rfk zako micharuko wote wameolewa na bado micharuko ila waume zao wanawapenda sana,

My dia jua tu kila mwanamke ni "Wife Material" inategemea tu mwanaume anataka material ipi.
Sio kila mwanaume anapenda mwanamke mpole, mtulivu n.k
Wengn wanapenda micharuko, washari yan akilianzisha hapakaliki "Chausiku's type"

Usikate tamaa bado hujachelewa,
Watu wanaolewa mpk miaka 50,
27 ur too young.
Be urself,
Pray hard.
 
Kuna ukweli katika bandiko lako, ila jumlisho ni hatari kwa afya ya mtumiaji....
 
Naogopa kutia neno hapa.. Hachelewi kuwa wife, dada au mchepuko wangu
 

Mkuu hongera sana kwa kumwambia ukweli mleta mada. I hope every woman read this post. Men love submission and would wish there to be wives be submissive and put aside pride
 

Ukikua utaacha huu upuuzi.
Tena acha kufuata mkumbo wa kuolewa kwa kuwa unawaona wengine wanaolewa.
Na kwa taarifa yako jidai mcharuko, huyo mume hutamwona na kichapo na ngoma juu utapata.
 
Inawezekana bs nimejipa sifa ambazo sina..au.labda kauli zangu hazireflect who I real am

Sifa unaweza kuwa nazo kweli, tatizo where do you hang out? mi huwa nashauri mabinti ambao hawajaolewa wasikae sehemu moja tu, tembea tembea huko safiri safiri huko kwa ndg, jamaa na marafiki, siyo umeng'ang'ana hapo tu wakati huoni potential hubbies. Msijifungie kwenye box nyie wadada

cc atoto, Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:

Ha haa...... umejuaje kama hatembei tembei?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…