ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Russia sio Lebanon hizi kelele za chura tu
Hao jamaa wanapatikana wapi ni online ama hapo mjini?Kuna jamaa fulani ni supliers wakubwa wa vifaa vya simu na ufundi simu wanaitwa gsmserver. Last week nilikuwa nanunua bidhaa kwao nikapewa notification kuwa hawaship kwa wateja wa Russia
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Counter propagandaPropaganda
Ukraine akipewa Longrange Missile lazima atakiwasha tu Moscow...Hiki ndio kinakuja
Hayo Mahaba yako kwa Putin yasikufanye kuwa Mpumbavu kiasi hicho. Unamaanisha Makampuni ya China ambayo ndio unatumia simu zao kuandika huu upupu kwamba wao Ni kelele za Vyura? Tulia Nyumbani uwapikie watoto wewe mama.Russia sio Lebanon hizi kelele za chura tu
Masikini vibaraka wa Putin wakiona hii sijuhi wanajisikiaje. Nchi isha tengwa na dunia hii.Makampuni ya China yameanza kulikimbia soko la Urusi kutokana na Vikwazo vya Kiuchumi ambavyo Urusi imewekewa na nchi za Magharibi.
Makampuni hayo Ni Pamoja na Lenovo, Xiaomi, Alibaba, Exim Bank, Huawei na Oppo. Baada ya Makampuni mengi ya Magharibi kufunga biashara zake Nchini Urusi baada ya Nchi hiyo kuivamia Ukraine, Makampuni ya China yaliendelea kubaki kwenye Soko la Urusi.
Wataalamu wa Kiuchumi wanadai kwamba, Makampuni hayo Binafsi yanaweza kuwa hayajaogopa vikwazo vya Magharibi Kama wengi wanavyofikilia, Bali Uchumi wa Urusi unaelekea kuwa Closed economy ambapo Biashara Nyingi Nchini Urusi hazitaweza kupata fedha za kigeni kuyalipa Makampuni ya Nje hasa China.
Pia wengi wanadadisi na kusema,Kwa kuwa Makampuni mengi ya China hasa ya Simu na Computer yanategemea Chip sets kutoka Marekani, Ulaya, Korea, Japan na Taiwan ambazo nchi zote Hizo zimeiwekea Urusi vikwazo vya Kiuchumi, Basi Makampuni hayo huenda yanaogopa Kupigwa mafuruku kupata vifaa hivyo muhimu kutoka kwenye Nchi za Magharibi kwa kuendelea kwao kukaa Nchini Urusi.
Nipo Tanzania ila hiyo notification ukiingia tu kwenye website unakutana nayoKwa hyo mkuu wewe upo Russia?
Tunanuaga online tu.Hao jamaa wanapatikana wapi ni online ama hapo mjini?
Masikini vibaraka wa Putin wakiona hii sijuhi wanajisikiaje. Nchi isha tengwa na dunia hii.
Si kweli,hata kwenye vifaa vyao vya kijeshi components nyingi zinatoka Kwa West. Angalia hata zile drone zao za Orlan zina camera za DSLR from Japan. Hata Chips ambazo zinapatikana kwenye vifaa karibu vyote vya electronic hata hayo Makombora zinatoka Kwa magharibi South Korea,Japan,Marekan na Taiwan. Na sasa ndo wamemfungia kabisa vioo asipate kabisa hizo chips INA maana sekta ya teknolojia lazima itetereke.Sasa kama kila kitu unacho kuna haja kani ya kuogopa kutengwa na dunia.niambie kuna kitu gani unachokijua wewe warusi wanakikosa kwao.Warusi wanaweza wakafunga mipaka yao,kisingie kitu na wala kisitoke kitu na maisha yakaendelea
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila waswahili! Hatari sanaSasa kama kila kitu unacho kuna haja kani ya kuogopa kutengwa na dunia.niambie kuna kitu gani unachokijua wewe warusi wanakikosa kwao.Warusi wanaweza wakafunga mipaka yao,kisingie kitu na wala kisitoke kitu na maisha yakaendelea
Hakuna nchi yenye uchumi wa peke yake. Otherwise maisha yasingehimilika.Sasa kama kila kitu unacho kuna haja kani ya kuogopa kutengwa na dunia.niambie kuna kitu gani unachokijua wewe warusi wanakikosa kwao.Warusi wanaweza wakafunga mipaka yao,kisingie kitu na wala kisitoke kitu na maisha yakaendelea
hakuna uchumi wa hivyo kwa dunia ya sasa nduguSasa kama kila kitu unacho kuna haja kani ya kuogopa kutengwa na dunia.niambie kuna kitu gani unachokijua wewe warusi wanakikosa kwao.Warusi wanaweza wakafunga mipaka yao,kisingie kitu na wala kisitoke kitu na maisha yakaendelea
Si kweli,hata kwenye vifaa vyao vya kijeshi components nyingi zinatoka Kwa West. Angalia hata zile drone zao za Orlan zina camera za DSLR from Japan. Hata Chips ambazo zinapatikana kwenye vifaa karibu vyote vya electronic hata hayo Makombora zinatoka Kwa magharibi South Korea,Japan,Marekan na Taiwan. Na sasa ndo wamemfungia kabisa vioo asipate kabisa hizo chips INA maana sekta ya teknolojia lazima itetereke.
Pia Urusi kiasi kikubwa cha mapato ya Nje kinatokana na mapato ya Mafuta na Gas ambavyo vinachangia karibu Nusu ya bajeti nzima hvyo akisema eti afunge mipaka mafuta au Gas visitoke uchumi wa nchi unaanguka sababu hizo ndo biadhaa zinazochangia pakubwa bajeti ya nchi
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila waswahili! Hatari sana
Marekani mwenyewe na ukwasi wake wote Ila hawezi kuthubutu ujinga huo, anajua madhara yake! Sembuse Russia?
hakuna uchumi wa hivyo kwa dunia ya sasa ndugu