Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,402
Hapa sio front? Front ni wapi?Nakushauri wewe ndo ingia front ujue bei zikoje...usisubirie kupewa info !
Hapa sio front? Front ni wapi?Nakushauri wewe ndo ingia front ujue bei zikoje...usisubirie kupewa info !
Ahaa sawa mkuu!Mimi nilishatoka mwezi uliopita, huko sehemu moja panaitwa kiwangwa ndio kulikua na huo mnada
Na mnada ulishafanyika napesa zimelipwa labda maeneo ya lindi na mtwara unaweza ukaupata kamanda
Hapana kwa hayo maeneo sina kamandaMkuu unataarifa yoyote ya minada ya kilwa au liwale kwa mwezi huu?
Hapa sio front? Front ni wapi?