Bei za zao la ufuta (sesame seeds)

Bei za zao la ufuta (sesame seeds)

Wakuu hakuna mwenye updates za ufuta atujuze
 
Kwa eneo la Rufiji katika ghala mwezi uliopita ufuta ulikua unauzwa kati ya tsh1600hadi 1800 kwa kilo mwaka huu umeshuka sana kwasababu ya covid
 
Mimi nilishatoka mwezi uliopita, huko sehemu moja panaitwa kiwangwa ndio kulikua na huo mnada

Na mnada ulishafanyika napesa zimelipwa labda maeneo ya lindi na mtwara unaweza ukaupata kamanda
Mkuu unataarifa yoyote ya minada ya kilwa au liwale kwa mwezi huu?
 
Back
Top Bottom