kuna wadau walisema king'amuzi cha azam kulipia kwa mwezi itakuwa 3,000 tu
Itakuwa borz Kama watazingatia haki na kuacha ubaguzi wao
sihukumu bali ni ukweli hakuna mkristo anaefanya kazi kwenye kampuni za bahressa nadhani hâta hizo chanel zitakua za kibaguzi
kuna wadau walisema king'amuzi cha azam kulipia kwa mwezi itakuwa 3,000 tu
magarama yoote ya madishi ya nini kwanza tech ya sasa ni kuharibu shoo ya nyumba kwa kuwekaweka maungo.Bado ninaamini star time ni kimbilio la wanyonge.Watakacho kifanya ni kuweka vipindi vichache vya mpira na vipindi kibao vya ile dini yetu.Tuone kama watafanya equity kwa kuweka vipindi vya ile dini nyingine