Nadhani ilikuwa ni ktk kuwapandisha Pressure jamaa wa STAR TYM Lkn hata hivyo km Bei ndo hiyo kweli bado ni nafuu! Issue ni CHANEL gani zilizopo? au ndo kuonyesha LIGI yakiBONGO2! Mpira wa MIGUU unakuwa na Magoli km Mpira wa maGONGO mechi 1 maGOLI 6! Km watakuwa na Chanel za maana! Basi wasubiri miPESA ya waTANGANYIKA2!
Hivi tumekuwaje siku hizi. Ni lazima kila kitu tuweke udini hata pasipo stahili. Hii ni mbaya.
Nadhani ilikuwa ni ktk kuwapandisha Pressure jamaa wa STAR TYM Lkn hata hivyo km Bei ndo hiyo kweli bado ni nafuu! Issue ni CHANEL gani zilizopo? au ndo kuonyesha LIGI yakiBONGO2! Mpira wa MIGUU unakuwa na Magoli km Mpira wa maGONGO mechi 1 maGOLI 6! Km watakuwa na Chanel za maana! Basi wasubiri miPESA ya waTANGANYIKA2!
Man U na Arsenal ni za Ulaya na Zilicheza mechi moja jumla magoli 10. Unashangaa timu za kibongo mechi moja magoli 6. Jamani tuwe tunafikiria kwanza.
unafuu wake nini??mbona startimes nao wana package ya 10,000/= tu???waseme kuna nini humo wasitutajie bei,watu wanalipa dstv kwasababu ya vilivyomo
Tuliokuwa tunasubiri kwa hamu ving'amuzi vya azam tv bei ni kama ifatavyo;Dish,king'amuzi na remote ni shilingi 95000tu pamoja na ufundi.na gharama ya kila mwezi ni shilingi 12500/=Enjoy it!