Itscharlie
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,795
- 15,777
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yaani cover's,earphone nk.
Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yaani kiufupi accsessories za simu ni hivi:
Unapoenda Kariakoo kwa lengo la kununua hivyo vitu tajwa hapo juu usiende kichwa kichwa yani unafika. Mfano unataka cover la simu fulani usiulize kwa lugha hii: eti cover la note 10 shingapi no! Ukishauliza hivyo wanajua huyu sio wa humu humu Kariakoo, ni mteja wa kawaida ananunua akatumie tu lugha unayotakiwa...
Kuongea ni hivi hilo cover la note 10 ni saa ngapi Kariakoo kuna lugha maalum ambazo zimewekwa kuwa ukiongea wanajua huyu ni mlanguzi analangua na yeye akauze na inakupa wewe ugumu wa kuelewa wanaongea kwa mantiki gani so nakupa hiyo ukifika mfano unataka simu uliza hivi samsung note 20 zoezi lake saa ngapi utapewa bei ya kilanguzi ili na wewe ukauze yaani bei ya winga, walanguzi kule kkoo tunawaita mawinga Kariakoo hamna simu za bei hivyo...
Ili uifahamu na kuijua Kariakoo na machimbo yake itakuchukua muda mrefu pia kama utahitaji simu kwa bei nafuu ya kiungwana kabisa PM me nitakupa bei halisi simu yoyote.