Bei za mifugo kama Ng'ombe zinapaa sana shida nini?

Bei za mifugo kama Ng'ombe zinapaa sana shida nini?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
773
Reaction score
2,587
Nimeingia shambani kwa tajiri mmoja hapo iringa anafuga ng'ombe , aisee nauliza bei ya ng'ombe nambiwa five m, huyu six m na hatanii kabisa, nikaona huu uboya nimeenda tukuyu mbeya wanakopatikana ngombe wa maziwa nakuta nako bei zimechangamka sana , najiuliza nini kimetokea,nipeni location ntakayopata hii mifugo kwa bei rafiki kidogo
 
Shida ni wale waturuki wanaochinjachinja mifugo mingi kwa ibada zao misikitini. Wananunua mifugo kwa bei kubwa sana! Sasa we mswahili utauziwaje kwa bei ya kawaida wakati kuna waturuki/waarabu wananunua kwa bei ya juu? Ni kweli mifugo imepanda bei sana!
 
Na wale wenye viwanda vya nyama wanasafirisha nje hapo baadae kilo ya nyama itakuwa 50000😂😂
 
Watu wataanza kula mpaka nyara za serikali kwa ulafi wa nyama. Wanyama kama tembo, simba, mamba, chui, gedere, fisi, mbweha, vicheche wataliwa tu maana ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata bei juu
 
Nimeingia shambani kwa tajiri mmoja hapo iringa anafuga ng'ombe , aisee nauliza bei ya ng'ombe nambiwa five m, huyu six m na hatanii kabisa, nikaona huu uboya nimeenda tukuyu mbeya wanakopatikana ngombe wa maziwa nakuta nako bei zimechangamka sana , najiuliza nini kimetokea,nipeni location ntakayopata hii mifugo kwa bei rafiki kidogo
Neenda Kenya achana na ujinga wa watanzania hawajui kufanya biashara ngombe utaipata kwa 2m usafiri 800k mpaka Moshi
 
Wafugaji wamepungua na walaji wameongezeka. Mijini watu wanafuga magari kwaiyo utafika muda mtaanza kuchinja magari yenu mle injini make wa mjini kazi yao kutukana wafugaji (wasukuma) eti ni washamba 😅
 
Hawa waturuki wanaochinja kila uchao ndio wanapandisha bei
Nadhani sisi kama watanzania hii ni fursa ya kujiimarisha katika ufugaji kwa kuwa soko limekuwa
waturuki ni noma, wananunua mifugo mingi ya kuchinja kwa bei ya juu. Mifugo itaisha kwa wingi ule wa kuchinjwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom