SPIN DOCTOR
Member
- Aug 18, 2016
- 20
- 10
Hivi sirikali ishafanya evaluation ya majengo yake yaliopo Dar na kujua thamani yao?
Naming TBA (Tanzania Building Agency) wanaweza kupewa tenda ya kufanya commercial valuation ya haya majengo. Swali langu je majengo ya wizara na idara mbalimbali za serikali hapa Dar yanaweza kufikia kiasi gani kwa kila jengo?
Mimi mfano nina interest ya kujua hili jingo la wizara ya Mambo ya Nje jipya linaweza kuwa kiasi gani likishakamilika?
Cost ya kuuza jingo jipya kama hili sijui itakuwa ni kiasi gani.