Bei za magari

Bei za magari

Habari wana Jf nahitaji kujuwa bei za magari
Vs zile za wabunge bei gani
V8
Lend lover
Plado nk„„„„„„„„„[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
kusema cha ukweli tembelea mayadi ya magari au mitandao kama vile be forward ili kupunguza mbu humu
 
Duh hiyo noah au corolla tena hybrid
Screenshot_2016-10-22-15-00-37.png
 
Hapana. Noah ni 20mk/L.NaVX normally ni 14kms/L mkuu. Nakwambia hivyo maana nimeendesha hizo gari. Pia si kweli eti ukubwa wa CC ndio ulaji wa mafuta.
Gari zenu mnaziwekaje, nna sr40 , inatumia 5. 5 kwa ltin town palipo na maxum spid 40 kmper h
 
Back
Top Bottom