Bei za mafuta Zapanda tena

mkuu, Attach pdf, ASAP.
kama utaweza mda huu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mama anaupiga mwingi sana yani,,,au nasema uongo ndugu zangu 😅

Huo ndiyo UKWERIIII , Ewura waongeze bei ya wese akili zitukae sawa...J4 ya mwezi wa 9 inatakiwa igonge 2800 halafu wa 10 tunamaliza kona kwa 3000.
 
Ule mwingi ulikuwa kipindi cha fungate tuu.. Sasa limeisha.. Hakika kazi iendelee.. Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo
kiongozi nimecheka utadhani mwehu! "Maa ulituingiza cha city vibaya mnooo"
 
Wabongo tunajifanya matawi sana kutaka kutembelea mat@ko wakati wese linatushinda kununua...

Ni mwendo wa kurudi kwenye Vespa kama Wazenji/Wachina au baiskeli kama Waholanzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…