Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 171
Nimeanzisha thread hii tusaidiane kujua bei za mafuta katika nchi mbali mbali. Hii itatusaidia tujue iwapo Tanzania bei zake tunapigwa au lah hasa wakati huu ambapo bei ya crude oil inaporomoka.
Maana kuna mdau humu anaandika kuwa Marekani wese sh 200 inawezekanaje? Wale mlioko nje ya Nchi mnaweza kutusaidia kujazia bei za maeneo yenu huko...
Bei hizi zinaweza kuwa tofauti kiduchu kwa sababu ya exchange rates na timing. Lakini kwa mujibu wa Globalpetrolprice.com hizi ni za wastani na ni kwa lita moja, hata pale zinapokuwa kwenye vipimo tofauti (US Gallons).
1. UAE petroli inauzwa Dirham 1.69 ambazo sawa na Tsh 1,011.85.
2. Marekani dizeli ni wastani wa 0.57 US Cents (Tsh 1,253),
3. Nigeria dizeli US cents 0.72 (Tsh 1,583)
4. Mozambique dizeli US Cents 0.75 (Tsh 1,649.15)
5. Singapore dizeli Us cents 0.70 ( Tsh 1,539)
6. Dar es Salaam dizeli Tsh 1,747.
7. Bostwana dizeli Tsh 1,495.
8. Uganda deizeli Tsh 1,847
9.........
10.......
11.......
12......
13......