Bei za mafuta katika nchi mbalimbali duniani

Mbalamwezi

JF-Expert Member
Sep 30, 2007
800
171
Nimeanzisha thread hii tusaidiane kujua bei za mafuta katika nchi mbali mbali. Hii itatusaidia tujue iwapo Tanzania bei zake tunapigwa au lah hasa wakati huu ambapo bei ya crude oil inaporomoka.

Maana kuna mdau humu anaandika kuwa Marekani wese sh 200 inawezekanaje? Wale mlioko nje ya Nchi mnaweza kutusaidia kujazia bei za maeneo yenu huko...

Bei hizi zinaweza kuwa tofauti kiduchu kwa sababu ya exchange rates na timing. Lakini kwa mujibu wa Globalpetrolprice.com hizi ni za wastani na ni kwa lita moja, hata pale zinapokuwa kwenye vipimo tofauti (US Gallons).

1. UAE petroli inauzwa Dirham 1.69 ambazo sawa na Tsh 1,011.85.
2. Marekani dizeli ni wastani wa 0.57 US Cents (Tsh 1,253),
3. Nigeria dizeli US cents 0.72 (Tsh 1,583)
4. Mozambique dizeli US Cents 0.75 (Tsh 1,649.15)
5. Singapore dizeli Us cents 0.70 ( Tsh 1,539)
6. Dar es Salaam dizeli Tsh 1,747.
7. Bostwana dizeli Tsh 1,495.
8. Uganda deizeli Tsh 1,847
9.........
10.......
11.......
12......
13......
 
mkuu unaakiwa uandike na ujazo wake,sidhan kma us hyo bei ni kwa lita wao wanatumia gallon hata uae hyo bei sio kwa lita moja
 
weka na bei ya petrol!hiyo ndo bei ya dizel kwa dar kumbe!!!

Mkuu, nimeweka ya dizeli kama sample tu, at least tupate rough idea, maana za petroli na Kerosene hazitofautiani saana na Dizeli. Hata hivyo wale mlio na bei zote mnaweza kuweka hapa pia.
 
Mkuu, nimeweka ya dizeli kama sample tu, at least tupate rough idea, maana za petroli na Kerosene hazitofautiani saana na Dizeli. Hata hivyo wale mlio na bei zote mnaweza kuweka hapa pia.
ila kulinganisha huku nako naona ni kugumu...sababu ya itofauti wa thamani ya fedha!ila ngoja wadau walete data...maana elfu moja ya Kenya si sawa na ya Tanzania...and so on.
 
mkuu unaakiwa uandike na ujazo wake,sidhan kma us hyo bei ni kwa lita wao wanatumia gallon hata uae hyo bei sio kwa lita moja
Mkuu Flamini, nimerekebisha. Zote zimewekwa per litre, kuondoa mkanganyiko.
 
OIL PRICES IN OMAN .....Types of petrol
Super 153 Baisa per litre =tshs 871.99/=
Regular 137 Baisa per litre = tshs 780.80/=

DIESEL 146 Baisa per litre = tshs 832.09/=
 
Back
Top Bottom