Waafrica mna laana sijui akili gani hiziHakuna dunia bila Russia
Mkuu huu ndio uzuzu mwengine tuliokua nao sisi watanzania lini 26=3500?yaani huoni kuwa kuna tofauti hapo?why na sisi isiwe 26ths?,Zambia diesel ni 28ZWK,Botswana ni 17.9BWP, why na sisi ingekua 26ths?,kuna uzuzu mkubwa hapaHizo bei mpya ni kama bongo tu.. ni around tzs3,500 +
Unalinganisha thamani ya uchumi wa TZ na SA?Mbona hizo bei hazina tofauti ni Tanzania? Au wewe kwakuwa umeambiwa zimepungua ndio umekurupuka tu??
Exchange rate ni RAND 1= 139.22 TZS
Wewe huoni kuwa currency yetu ni nyepesi na why?hasa kwenye nchi yetu ambayo hatujawahi hata kupata natural disaster yeyote?,tambua kuwa 1 SIO SAWA NA 139Mbona hizo bei hazina tofauti ni Tanzania? Au wewe kwakuwa umeambiwa zimepungua ndio umekurupuka tu??
Exchange rate ni RAND 1= 139.22 TZS
Kwahiyo unafananisha rand 25 ya south na 3500 ya bongo,? Unajua rand 25 SA inanunua nini na 3500 bongo unafanyia nini? Pathetic Fool!!Hizo bei mpya ni kama bongo tu.. ni around tzs3,500 +
Nilipoiona hiyo avatar yake nimejuta hata kwanini nimemjibu... atakua mtu wa hovyo sana.Wewe huoni kuwa currency yetu ni nyepesi na why?hasa kwenye nchi yetu ambayo hatujawahi hata kupata natural disaster yeyote?,tambua kuwa 1 SIO SAWA NA 139
Exactly mkuu kuna mazuzu humu yaani mpaka unakereka,sisi politicians wetu walitumezesha vitu gani, all countries around us ,bei zimekwenda chini only us, na bado kuna mazuzu humu wanaona ni sawa, na wanapiga kelele why Mr.Mbowe hawatetei!!,it's craze kutegemea wengine wakupiganie wewe umejificha na ID fake humu.Kwahiyo unafananisha rand 25 ya south na 3500 ya bongo,? Unajua rand 25 SA inanunua nini na 3500 bongo unafanyia nini? Pathetic Fool!!
Lkn si zimepungua au mpaka ziwe chini ya bongoMbona hizo bei hazina tofauti ni Tanzania? Au wewe kwakuwa umeambiwa zimepungua ndio umekurupuka tu??
Exchange rate ni RAND 1= 139.22 TZS
Hao wanachojua ni xchange rate tuMkuu huu ndio uzuzu mwengine tuliokua nao sisi watanzania lini 26=3500?yaani huoni kuwa kuna tofauti hapo?why na sisi isiwe 26ths?,Zambia diesel ni 28ZWK,Botswana ni 17.9BWP, why na sisi ingekua 26ths?,kuna uzuzu mkubwa hapa
Yaani wajinga ni wengi sana,hajui uchumi wa S.A na Tanzania ni tpfauti,hata living standard pia.Unalinganisha thamani ya uchumi wa TZ na SA?
Hajui huku 3500 ni sahani tatu za wali marage bila nyama na u fresh tatu inabaki 200 mnanunua PK ziko nne inabaki mojaKwahiyo unafananisha rand 25 ya south na 3500 ya bongo,? Unajua rand 25 SA inanunua nini na 3500 bongo unafanyia nini? Pathetic Fool!!
Ficha aibu yako mkuu.Mbona hizo bei hazina tofauti ni Tanzania? Au wewe kwakuwa umeambiwa zimepungua ndio umekurupuka tu??
Exchange rate ni RAND 1= 139.22 TZS
Avatar yake tu tayari inaonesha ni mtu wa hovyo sana.Ficha aibu yako mkuu.
Naona ndio maana kuna uzi unapendekeza kuwe na qualification za kujoin JF.
Purchasing power yao pia ni sawa na Bongo? Nyie ndo wale mlikuwa mna kariri tu shuleni bila kuelewaHizo bei mpya ni kama bongo tu.. ni around tzs3,500 +