Bei za Konyagi

The_Analyst

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
218
52
Wasalaam,
Naomba kuuliza swali naomba kujua bei ya kawaida ya konyagi kuanzia ya paket mpaka chupa kwa anayefahamu.
regards.
 
Salaam!
naomba kujulishwa bei za ujazo tofauti za konyagi (i.e. ya pakiti hadi chupa)
regards.
 
Kiroba 1200, kabinti au kasichana au bapa ndogo 3000 mpaka 3500 konyagi kubwa au bapa 6000 au 7000 hizo ni bei za Bara kwenye bar za kawaida
Zenji Kiroba 1500 kabinti au kasichana 5000 kwenye bar za ccm, bapa 120,000/=kwenye hotel za beach
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom