Bei ya vyakula Lushoto

Bei ya vyakula Lushoto

Joined
May 30, 2015
Posts
31
Reaction score
3
Habar za mihangaiko ndugu zangu??

Nilikuwa naomba kujua bei za vyakula kama maharage, nyanya, mchele na viazi ulaya katika soko kuu la lushoto, mm nipo dar nataka nifanye biashara ya kutoa vyakula lushoto kuleta dar hvyo mwenye kujua bei au mwenyeji wa uko na mkulima anijuze bei.

nawasilisha
 
Hapa kuna utitiri wa wafanyabiashara ambao wananunua mazao kuleta au kutumajijini dar es salaam. Bei inategemea na aina ya mazao NA msimu
 
Back
Top Bottom