Champion_Boy Member Jul 13, 2018 24 77 Jul 17, 2018 #101 Naton Jr said: Mimi natumia TTCL yaani mb zinaexpire hata bado sijamaliza Click to expand... Niliambiwa TTCL wanaghalama sana vp mkuu kwa wewe unaotumia mtandao huo hudumazao zipo vp kwa swala la Internet na speed pia
Naton Jr said: Mimi natumia TTCL yaani mb zinaexpire hata bado sijamaliza Click to expand... Niliambiwa TTCL wanaghalama sana vp mkuu kwa wewe unaotumia mtandao huo hudumazao zipo vp kwa swala la Internet na speed pia
Darmian JF-Expert Member Oct 1, 2017 17,192 46,241 Jul 17, 2018 #102 Asherymdudu said: Niliambiwa TTCL wanaghalama sana vp mkuu kwa wewe unaotumia mtandao huo hudumazao zipo vp kwa swala la Internet na speed pia Click to expand... Kama upo dar ttcl ndo the best kwenye unafuu wa bundles za internet..500tsh mb 800..pia speed inafaa
Asherymdudu said: Niliambiwa TTCL wanaghalama sana vp mkuu kwa wewe unaotumia mtandao huo hudumazao zipo vp kwa swala la Internet na speed pia Click to expand... Kama upo dar ttcl ndo the best kwenye unafuu wa bundles za internet..500tsh mb 800..pia speed inafaa
Champion_Boy Member Jul 13, 2018 24 77 Jul 17, 2018 #103 Darmian said: Kama upo dar ttcl ndo the best kwenye unafuu wa bundles za internet..500tsh mb 800..pia speed inafaa Click to expand... Ubarikiwe Mkuu me nipo Moshi ngoja nijalibu kusajili
Darmian said: Kama upo dar ttcl ndo the best kwenye unafuu wa bundles za internet..500tsh mb 800..pia speed inafaa Click to expand... Ubarikiwe Mkuu me nipo Moshi ngoja nijalibu kusajili
MWALLA JF-Expert Member Dec 12, 2006 16,992 10,497 Jul 17, 2018 #104 FYATU said: Labda kama sijaelewa mada, ila mbona zinapatikana MB1000 kwa sh 1000, Airtel na Voda, Tigo kuna cha video/youtube only MB1000 kwa buku. Click to expand... unafanyaje kupata hiyo gb1
FYATU said: Labda kama sijaelewa mada, ila mbona zinapatikana MB1000 kwa sh 1000, Airtel na Voda, Tigo kuna cha video/youtube only MB1000 kwa buku. Click to expand... unafanyaje kupata hiyo gb1
M Montserrat JF-Expert Member Sep 9, 2011 10,286 13,858 Jul 17, 2018 #105 Kwa sasa huduma za TIGO zimekaa ki-tigo, yaaani ni very ovyo hakuna cha 4G ni wizi mtupu