Naenda kijijin kulima
hahaa, utaanza weyeacha tufe tuu
na bado
Zimepanda pengine ni msimu wa sikukuu, nadhani hii ni habari njema kwa wakulima wanaolia bei za mazao yao haiendani na kazi wanayofanya
Pia watu wengi watavutiwa kulima pia
Kipeuo cha pili tushakimalza tupo log ndo tupambana nayo tuishnd lakin wapMpaka sasa tumefikia square root ama kipeuo cha pili. na tukitoka hapo... tunaingia logarithim.. mpaka somo lipande
basi sasa hivi watu wnanunua unga sana, sikukuu watanunua mchele ndio maana unga unapandaSijui mila na desturi za watu wote hasa vijijini ila kwenye sikukuu za kidini mbali na mwaka mpya mchele ndio unahitajika sana kuliko unga.
Tutasema sana lakini sababu moja tu... ukufuli bhasiiiiiZimepanda pengine ni msimu wa sikukuu, nadhani hii ni habari njema kwa wakulima wanaolia bei za mazao yao haiendani na kazi wanayofanya
Pia watu wengi watavutiwa kulima pia
Chanchilla Mungu anakuona kutoka rohoni mwakoZimepanda pengine ni msimu wa sikukuu, nadhani hii ni habari njema kwa wakulima wanaolia bei za mazao yao haiendani na kazi wanayofanya
Pia watu wengi watavutiwa kulima pia
Wafanyabiashara wa jumla na rejareja jijini Dar-es-salaami waalalamikia kupanda kwa bei ya unga wa sembe.
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao, mfuko wa kilo 5 umepanda bei kutoka shilingi 3500 mpaka kufikia shilingi 6000 na kilo moja ya unga imepanda kutoka shilingi1000 mpaka shilungi 1400.
Chanzo: ITV