Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,611
- 164,629
Nimesharekebisha muda kidogomkuu hujaeleweka hapo nilipoweka red
Naenda kijijin kulimaWafanyabiashara wa jumla na rejareja jijini Dar-es-salaami waalalamikia kupanda kwa bei ya unga wa sembe.
Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao,mfuko wa kilo 5 umepanda bei kutoka shilingi 3500 mpaka kufikia shilingi 6000 na kilo moja ya unga imepanda kutoka shilingi1000 mpaka shilungi 1400.
Chanzo: ITV
Mpaka sasa tumefikia square root ama kipeuo cha pili. na tukitoka hapo... tunaingia logarithim.. mpaka somo lipandeYaani ni kuisoma namba hadi zinaisha unarudia tena hadi unalala.
Ukijifanya kichwa ngumu eti namba hazipandi unastuliwa na kwenzi kidogo.Mpaka sasa tumefikia square root ama kipeuo cha pili. na tukitoka hapo... tunaingia logarithim.. mpaka somo lipande
Ndio mjue uchumi mmeuharibu.Watanzania kwa kulalamika tu! Toooooo much