Bei ya umeme Kigoma pasua kichwa

Northern empire

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
358
459
Habari zenu wadau . yaani nashindwa kuelewa mpaka sasa hii bei ya umeme Kigoma ni hapahapa Kigoma au Tanzania nzima .

Sasa hivi huku Kigoma wale ambao walikuwa wanatumia matumizi ya kawaida wote wamepandishwa kwenda matumizi ya juu.

Mfano kipindi cha nyuma nilikuwa nikinunua umeme wa elfu mbili napata unit 16.4 ila katika kipindi hiki tangia korona hii ianze elfu mbili napata unit 5.7 . yaan sijui kwanini au na mikoa mingine imepanda bei hii ya umeme?

Naona sasa tunaanza kurudi kwenye sola maana hali imekuwa ngum mno
 
Upo Kigoma Mkoani Ama Kasulu, Buhingwe, Kakonko, Kibondo
Nakumbuka Huduma Unayoisema Ilikuwa Nzuri
Nikiwa Huko Huko Tulikuwa Tunanunua Mpaka Umeme Wa Buku
 
matumizi yako makubwa luku yako imeshabadilika
Sio kweli ni watu wote ambao tunaishi hapa Kigoma mjini sijui kwa wilaya zingine na hili watu wote wanalalamika tanesco watu wamejaa wakilalamika hasahasa sisi ambao matumizi yetu ni ya chini tumepandishwa na kuwa sawa na wale ambao matumizi yao ni ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom