Jamani hapo mnakosea, hata kama ni karne ya 21, ubora wa turntable bado hauna mpinzani! soud inayotoka kwenye cd huwezi kufanananisha na sound inayotoka kwenye LP. Ukitaka kujua hilo waulize wenye taaluma na mambo ya sound, kama madj wa ukweli, sound engineers, n.k. Jiulize kwanini kwenye club za mbele au shows mbalimbali turntables ndio zinahusika zaidi!