Sukari imefichwa wapi ilikuwa ni kutapatapa tu, nchi yetu hakuna atayeingia akatimiza anayosema, kabla ya kuingia ahadi nyiingi mtu akishaapishwa tu akiingia jumba jeupe anaanza vitu vingine kabisaaaa! So tumezoea tu sasa!Hii nchi kwa drama si mchezo, hivi wale waliokamatwa na sukari kipindi kile suala hilo liliishia wapi, maana tuliahidiwa kupewa sukari bure kutoka kwa wahujumu uchumi walioficha sukari, lakini sikuona tena lolote likitendeka, tukaahidiwa kuwa bei elekezi ya sukari itakua Sh 1,700/- kwa kilo lakini wapiii, sukari inazidi kupanda mlima kilimanjaro, Kina Bashite wanaacha kusimamia mahitaji ya msingi kwa kuwa hayana kiki kama hayo mengine, ndio maana basic needs kwa wananchi wanazipotezea, mbaya zaidi pesa hakuna kitaa, tusishangae kunywa chai kwa pipi.
Lakini lita tzs 15,000!Tena asali saaafi kabisa!!
Lakini lita tzs 15,000!
time will tell Ndugu zangu niamini mimi!!
Asali inapatikana bure mkuu? Is it not expensive than sugar?Weka asali tu
Na hapo bado namba hazijakolea,tutazidi kusoma namba baada ya miaka mitatuKama kawaida ya kila mwaka kipindi cha masika viwanda vya sukari vimeanza kufungwa na sukari imepanda bei.
Hapa Arusha bei ya jumla imepanda kutoka tzs 98,000 kwa mfuko wa kilo 50 hadi TZS 1050,00. Bei ya rejareja ni TZS 2,500 kwa kilo kutoka 2,200.
Tunaomba Waziri Mkuu atoe tamko kama hii ni halali na serikali inachukua hatua gani kuziba pengo kama kuna upungufu.
Bei ya sukari ingekuwa nafuu hata wanywa viroba wangekunywa chai na uji. Kuna anayejua bei ya ukwaju?Poleni Arusha
Tamko la nini bei inasimamiwa na market forces supply and demandKama kawaida ya kila mwaka kipindi cha masika viwanda vya sukari vimeanza kufungwa na sukari imepanda bei.
Hapa Arusha bei ya jumla imepanda kutoka tzs 98,000 kwa mfuko wa kilo 50 hadi TZS 1050,00. Bei ya rejareja ni TZS 2,500 kwa kilo kutoka 2,200.
Tunaomba Waziri Mkuu atoe tamko kama hii ni halali na serikali inachukua hatua gani kuziba pengo kama kuna upungufu.
Na kuhusu kuziba pengo ili supply izuie bei kupanda hakuihitaji tamko la serikali? Au wewe ni diabetic?Tamko la nini bei inasimamiwa na market forces supply and demand
Wewe sio mchumi maana wakati ule uagizaji wa sukari toka nje ulipokatazwa (supply ilikuwa low) bei ilipanda sana mbali na matamko ya serikali na kusaka magodouni ya watu bei haikushuka kwa sababu supply ilikuwa kidogo kuliko demand anyway unaweza usielewe subiri tamko ili bei ishukeNa kuhusu kuziba pengo ili supply izuie bei kupanda hakuihitaji tamko la serikali? Au wewe ni diabetic?