Nimesoma barua ya maelekezo kwa wauzaji wa sukari nchi nzima kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari kuwa kuanzia kesho bei ya sukari ni shs.1,800 kwa kilo nchi nzima. Ninaomba usimamizi wa maelekezo haya yasimamiwe kwa karibuna WAKUU WA MIKOA, WILAYA, MAFISA WA POLISI WA MKOA,WILAYA, WAKURUGENZI WA WILAYA, MAAFISA USALAMA WA TAIFA WA MIKOA NA WILAYA NA MAAFISA BASHARA WA MIKOA NA WILAYA, MAKATIBU TARAFA, WATENDAJI WA KATA N VIJIJI. Wafanyabiashara watakaokaidi walipwe faini na kufungiwa biashara zao.
Kweli Mhe.Magufuli ni MKOMBOZI WA WANYONGE. Sisi wanyonge tunakuombea.
Kweli Mhe.Magufuli ni MKOMBOZI WA WANYONGE. Sisi wanyonge tunakuombea.