Bei ya Sukari mfupa ulioishinda serikali!

Bei ya Sukari mfupa ulioishinda serikali!

Mi nipo Mwanza. Na kila siku nanunua sukari kwa Tsh.2,000/=. Nilishanunua kwa Tsh.2,200 kabla bei elekezi haijatangazwa.
tatizo unaandika tu,ili kumfichia aibu mkurupukaji wa pale magogoni!uku meatu kilo moja ni 2400 mpaka 2500/=,eti mwanza 2000?acha ukada wewe
Ntajie hiyo sukari kilo 1800 unanunua mkoa gani au duka la ccm nn acha uongo wewe taifa aliendelei kwa kutengeneza matukio ndo mana tunachekwa tena we usikute ni mtanzania wa hali ya chini unatetea ujinga piga kelele ili tutoke kwenye maigizo ya kushuka bei kwa vitu na iwe ya kwel ili wananchi tunufaike na kama aiwezekani tujue au na we upo kwenye kikosi cha propaganda so uko kazini ok sawa kama ni mwananchi na unataka maisha bora bas acha maigizo nasema piga kelele rais aone jambo ili ata kama anataka sifa basi itakua faida kwetu au kama mpenda haki basi atapigania ilo kama swala liko ewura badi useme mana ndo mahakama ya bei ya bidhaa ukumu kutoka sio leo na ikitoka basi ujue ni kupanda na sio kushuka kisa mdororo wa kiuchumi ulaya ahahahahahaha kua muwazi acha chuki kichama kijana
labda kuna duka,ambako wana ccm wanaenda na kadi za vyama na kupanga mistari kununua!
 
Ntajie hiyo sukari kilo 1800 unanunua mkoa gani au duka la ccm nn acha uongo wewe taifa aliendelei kwa kutengeneza matukio ndo mana tunachekwa tena we usikute ni mtanzania wa hali ya chini unatetea ujinga piga kelele ili tutoke kwenye maigizo ya kushuka bei kwa vitu na iwe ya kwel ili wananchi tunufaike na kama aiwezekani tujue au na we upo kwenye kikosi cha propaganda so uko kazini ok sawa kama ni mwananchi na unataka maisha bora bas acha maigizo nasema piga kelele rais aone jambo ili ata kama anataka sifa basi itakua faida kwetu au kama mpenda haki basi atapigania ilo kama swala liko ewura badi useme mana ndo mahakama ya bei ya bidhaa ukumu kutoka sio leo na ikitoka basi ujue ni kupanda na sio kushuka kisa mdororo wa kiuchumi ulaya ahahahahahaha kua muwazi acha chuki kichama kijana
mkuu ukute yeye ana duka analo kwenda ambako unapeleka kadi ya ccm kupata vitu kwa bei ya chini!
acha upuuzi bei ya sukari hapa kimara ni 2200 usiwe mbumbumbu wewe
jibu zuri,uku meatu kilo mpaka 2400!
 
mkuu ukute yeye ana duka analo kwenda ambako unapeleka kadi ya ccm kupata vitu kwa bei ya chini!

jibu zuri,uku meatu kilo mpaka 2400!
Mapenz yamemzidi naona uyu jamaa ndo wale vijana wa ccm pale kimara kwenye ofisi zao wanakaaga na madem dume zima wanapiga umbea na kuanzisha magroup ya watsapp kuchat ujinga na kusindikiza miradi ya watt wa wakubwa kukusanya taka na kupiga dawa majumban dah balaa poleni sana meatu bei ya sukari mateso bado umeme ombi liko mezani hadi leo sijui au file imepotea
 
acha tuisome namba,na kwa hali hii naomba ukame usiipige tz katika mwaka mmoja au miwili ijayo maana hali itakuwa mbaya sana vijijini
 
Kama ni mambo yanayoipa mtihani mgumu serikali ni pamoja na kushindwa kusimamia bei ya Sukari kuendana na bei elekezi zilizopangwa!

Haihitaji kutumia muda mrefu kutafuta kujua bei ya sasa ya Sukari kwa kilo katika mtaa wako ulipo hata kama ni karibu na kiwanda chl
Ra kuzalisha Sukari.

Tunapiga marufuku Sukari ya kutoka nje, kusimamia uzalishaji wa ndani hatuwezi sasa huku si kushindwa ni nini? Kama pamoja na kelele zote za serikali kilo moja ya Sukari bado ni zaidi ya Tshs 2000 inamaana kiwango cha Sukari kilichopo ni kidogo!

Hapa bila shaka kuna maslahi binafsi kati ya watumishi wa serikali na wafanyabuashara ya Sukari nchini sio bure! Serikali ikipandisha Bei ya nauli kwenye vyombo mbali mbali vya usafiri nchini siku hiyo hiyo madiliko hufanyika lakini kwa hili la Sukari kwakua mnyonge ndie anaeumia basi kimya!

Bodi ya Sukari nchi ilikemea vikali suala la kapandishwa Bei ya Sukari kiholela lakini mpaka sasa hilo agizo halikua na maana yeyote, mbona hakuna sehemu Sukari inauzwa 1800 kwa kilo? Nimefanya research maeneo mengi nchini ikiwa ni pamoja na mkoa wangu wa Arusha hapa hapa hakuna duka Sukari inauzwa chini ya 2000!

Hivi kuna uhakika gani kama bado Sukari kutoka njee haiingizwi kinyemela? Wanaosimamia sua la kuzuia kuingiza Sukari kutoka nje mbona hawazuii kapandishwa kwa bei yake?

Binafsi naiomba serikali iache Sukari kutoka nje iingizwe ila iwe ni kwa njia za kilali ilipiwe kodi kama ilivyo kwa bidhaa zingine, kama wakulima wetu na wafanyabiashara wamekua wabinafsi wanafungia Sukari kwenye maghala huku wakipandisha bei kiholela basi Sukari kutoka nje iingizwe tu ili ushindani wa kibiashara uwepo kama zamani bei ishuke wanyonge wanywe chai na uji wenye Sukari na sio chumvi.Kikubwa serikali izibe mianya yote ya njia za pyanya Sukari kutoka nje ipite kihalali na ilipiwe kodi.
Nilitaka kuliandikia hili. Afadhali umeandika. Serikali nadhani nguvu anayo Magufuli pekee yake. Jumanne ya wiki hii serikali ya mkoa wa ruvuma ilitangaza tena kwa kupitia gari la matangazo kuwa kuanzia jumatano hii ya tarehe 23.3.2016 bei ya sukari ni 1800/=. Lakini cha ajabu na ambacho kimetushangaza ni kuona hakuna duka au mfanyabiashara yeyote anayeuza sukari kwa bei hiyo. Nilinunua sukari juzi kilo tano. Nilitaraji ninapompa elfu kumi narudishiwa chenji. Badala yake akaniambai bado elfu moja. Nikashangaa. Nikamwuliza kwani bei ya sukari ni ipi? Akaniambia 2200/=. Akasema hiyo bei ya serikali si yetu. Kama vipi acha tu sukari yangu. Hapo utagundua serikali haina mawasiliano na wafanyabiashara. Hivyo sijui maeneo mengine lakini huko ruvuma bei ya sukari sio hiyo ya serikali.
 
mkuu kama hautakuwa na mtindio, utakuwa mnufaikaji wa hii kitu, mbona m nanunua tsh 1800, au umemwa, kupima upepo? hapa kazi inawakurupua, nw kuishi kiujanja ujanja no...
Usikimbilie kumpinga mtu bila kujiridhisha. Unatoa lugha chafu bila kutafakari na kutaka kujua ukweli. Nenda ruvuma ukaone sukari ni shilingi ngapi
 
Upo wapi huko wanapouza 1800 kilo tukuagizie nasisi tununue man huk kwet 2400 sasa pia ni vyema ukakosoa kwa kutoa mifano sio kejeli zisizo na mpango great thinker jibu kwa hja sio matusi
#sumbawanga moja

Ndugu yangu inaonekena wewe huna familia au hujipikii chakula mwenyewe.
kwenye matatizo acha kuongea kama msaka tonge au kabla ya kuongea uweunatafiti.

Bei ya sukari haijashuka chini ya 2,000/- toka watoe tamko lao takribani wiki tatu sasa. Ni aibu kwa serikali kutoa matamko yasiyo na mchanganuo yakinifu waliopewa hizo dhamana wanaonyesha wanafanya kazi kama maroboti yakiogopa kutumbuliwa. Haya sasa matamko yenu yasiyotekelezeka yanawatumbua.
 
Upo wapi huko wanapouza 1800 kilo tukuagizie nasisi tununue man huk kwet 2400 sasa pia ni vyema ukakosoa kwa kutoa mifano sio kejeli zisizo na mpango great thinker jibu kwa hja sio matusi
#sumbawanga moja
Kwetu ni shilingi 2200
 
mkuu kama hautakuwa na mtindio, utakuwa mnufaikaji wa hii kitu, mbona m nanunua tsh 1800, au umemwa, kupima upepo? hapa kazi inawakurupua, nw kuishi kiujanja ujanja no...
Utakuwa umechanganya bei ya kiloba na Sukari. Hicho kiloba ulichonunua kadai chenji yako
 
Mtoa mADA anapiga STORY tu, hajui undani wa suala hili la Sukari.

Sukari ipo ya kutosha ila bei elekezi haiendani na gharama za uzalishaji (production Cost) ambazo ni kati ya Tshs. 1,600/= na (Ex-Factory) kabla ya usafirishaji na vikodi lukuki ni Tshs. 1,700/=.

Nipe hesabu ya bei ilekezi kwa mlaji itakuwaje Tshs. 1,800/=?
Hao waliopanga hawakulijua hilo?
 
Uncle uko vizuri kwa kuitaarifu mamlaka juu ya hili. Hivyo ni jukumu Lao kuhakikisha wanapotoa maelekezo yawe na impact kwa watumiaji. Vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.
Mamlaka amkeni naamin mmemckia huyu whistle blower.
 
Mapenz yamemzidi naona uyu jamaa ndo wale vijana wa ccm pale kimara kwenye ofisi zao wanakaaga na madem dume zima wanapiga umbea na kuanzisha magroup ya watsapp kuchat ujinga na kusindikiza miradi ya watt wa wakubwa kukusanya taka na kupiga dawa majumban dah balaa poleni sana meatu bei ya sukari mateso bado umeme ombi liko mezani hadi leo sijui au file imepotea
Huko ndiko mlikotia fora ya kukichagua chama chetu pendwa ccm. Hongereni sana. Vumilieni tunaweka mambo sawa. Tulisahau kuwa wasambaza sukari ni washirika na maendeleo ya ccm. Tutafuta hii bei elekezi
 
Magufuli penye kusifiwa tutamsifia. Penye kukosolewa tutamkosoa. Hili la sukari lazima tumkosoe kashindwa kulisimamia. Ipo wapi hapa kazi tu?
sawa,ila kwa hili,kama bei elekezi ya ada za shule binafsi,lisha kufa kibudu
 
Huko ndiko mlikotia fora ya kukichagua chama chetu pendwa ccm. Hongereni sana. Vumilieni tunaweka mambo sawa. Tulisahau kuwa wasambaza sukari ni washirika na maendeleo ya ccm. Tutafuta hii bei elekezi
Ahahahahaha shikamoo sana heri ya pasaka dah bibi angu pale songea na wangoni wenzangu nani bambo pale heri ya pasaka na heri ya bei elekezi mkuu nimekuelewa cjui itakuaje mana komba alikua anatupa umbea kwa nyimbo mengine sasa ndo basi tena tutakua tunashtukizwa ile ile ahahahaha

Kwel inawenyewe
 
Toka bei elekezi imetoka maeneo mengi bei ya sukari ni Tsh 2000/=kwa kilo.Hayo mengine porojo za wapinzani waliokosa agenda ya kusimamia wamebaki Kuwa wa kuwa watu wanaondeshwa na matukio,majungu fitisha uchonganishi na kutetea mafisadi.Tutakuta 2020 uzuri wananchi wanaelewa nini serikali yao inafanya.
 
Back
Top Bottom