Bei ya starlet mpya.

Babafetty

Senior Member
Nov 11, 2013
107
107
Habari,
Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili,
Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi,
Na zipi changamoto zake.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
mpya ama used kutoka japan???
used show room ni kuanzia 10
mpya sizan kama bado wanatengeneza.,

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ni milion 8.5 hivi ukiagiza mwenyewe used toka Japan,ukiifata showroom ni milion 9.5 mpaka 10m.ukitaka mpya kama ulivyosema itakua ni special oder na yamkini ikakutoka milion 20

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Habari,
Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili,
Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi,
Na zipi changamoto zake.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Baba fetty bora uchukue ka-march mkuu!

brain is the beautiful part of the body.
 
Habari,
Naomba kujua bei ya kuagiza starlet mpya kutoka japan mpk kufanya usajili,
Pia kwa mwenye ufahamu anisaidie kunijuza tofauti ya statlet na starlet glanza, ipi bora zaidi,
Na zipi changamoto zake.

Nawasilisha.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
Naamini unamaanisha mpya kwa maana kuwa ambayo haijatumika hapa nchini.

Bei ya starlet, hua nauza 7.7m kila kitu hadi barabarani (kasoro bima ya barabarani tu ndio unatakiwa kulipia)

Tofauti ya "glanza" na starlet ya kawaida ni mfumo wake wa engine pamoja na chasis yake

Glanza ni sport car (ikiwa kana unapenda sport car ambayo ni ndogo na nyepesi, go for glanza)

Naamini nimekufafanulia japo kidogo
 
Upo wapi na uko nazo Starlet?njoo pm kwa namba ya simu sasa hivi

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mi naulizia bei ya hii kitu naitafuta
dd3434ee4065c226ee6b294444677e8a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini unamaanisha mpya kwa maana kuwa ambayo haijatumika hapa nchini.

Bei ya starlet, hua nauza 7.7m kila kitu hadi barabarani (kasoro bima ya barabarani tu ndio unatakiwa kulipia)

Tofauti ya "glanza" na starlet ya kawaida ni mfumo wake wa engine pamoja na chasis yake

Glanza ni sport car (ikiwa kana unapenda sport car ambayo ni ndogo na nyepesi, go for glanza)

Naamini nimekufafanulia japo kidogo
VP KUHUSU VITZ OLD MODEL WAUZAJE?......NIPO KARIBU KUPATA KAMKOPO SO NATAKA KUCHUKUA KA VITZ. NA UKO PANDE ZIPI HAPA DAR?
 
Vitz old model ni 7.9m hadi barabarani kila kitu kasoro bima.

Office ni kinondoni, Ada estate, karibu!
 
Starlet ni Roho ya paka chukua starlet nenda kai pimp utaipenda ni imara

Samsung J7
 
Back
Top Bottom