Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Ni kwa neema ya Mwenyezi inayotupa uzima.
Wakuu mimi nipo Dodoma naomba kuulizia bei ya Nokia E6 kwa dukani kabisa, Maana nimetembelea site mbalimbali naona tu last sold price. Je kwa hapa tz possible price au actual price kwa sasa ni kiasi gani???
Tupo mkuu, Cha ajabu ni kipi hapo?Hivi bado kuna watu wanatumia nokia hadi leo. ambazo hazina android wala windows mobile 8. Kweli tunatofauti.
Hivi bado kuna watu wanatumia nokia hadi leo. ambazo hazina android wala windows mobile 8. Kweli tunatofauti.
Mbona bito zipo barabarani bado na hazina A/C?bado unatumiaga hizo
duu nyie noma hata mwanang wa la pili nikimpa hapokei coz mi mpezi wa racing games ashaxoea kuendesha cm kama gar
Hivi bado kuna watu wanatumia nokia hadi leo. ambazo hazina android wala windows mobile 8. Kweli tunatofauti.
kaka hii simu ina ppi 325 ni kubwa sana kwa simu ambayo mikononi inapatikana kama hvyo laki na 20. halafu zipo decent games za symbian belle ambazo ni hd japo si nyingi kama android.
hilo ni need for speed na hili ni asphalt
Nnapenda kujaribu jaribu simu tofauti.tunaongelea nokia E6.na sio e66.
Kama ndiyo hiyo nihifadhie mpaka mwezi ujao moja ya product ya nokia iliyonipita ni hio ya belle na Anna
Kwa vigezo ilivyonavyo hii simu ni madhubuti, japo OS yake ni Symbian.
Nakubaliana na wewe. Nina Nokia E5-00, sijajutia kuwa nayo na huu ni mwaka wa pili iko bomba sana. Chaji inadumu muda mrefu sana nikilinganisha na Galaxy ambayo nimeweka laini isiyo busy sana, lakini haidumu na chaji. Wanaoponda simu hio hapo juu hawajaijua tu.
Nnapenda kujaribu jaribu simu tofauti.tunaongelea nokia E6.na sio e66.
Kama ndiyo hiyo nihifadhie mpaka mwezi ujao moja ya product ya nokia iliyonipita ni hio ya belle na Anna