Umaskini mbaya sana!, ni sisi watu wa hali ya chini nd tunaoumia, wao na matoto yao wame relax wakila keki ya taifa na huku wakizidi kutunga sheria kandamiz dhidi yetu, kikubwa wanachoangaliw wao ni sheria zitakazokuwa na manufaa kwao
Kweli Tozonia changamoto