Bei ya Mchele imepaa

Bei ya Mchele imepaa

Mimi sioni maajabu kwani mwaka jana hakukuwa na mvua za kutosha. Tuombe mwaka huu zitosheleze.
 
Napendekeza mchele wa thailand na kitumbo tuurejeshe nchin naunga mkono juhudi...tuendelee kula mtori
 
Umaskini mbaya sana!, ni sisi watu wa hali ya chini nd tunaoumia, wao na matoto yao wame relax wakila keki ya taifa na huku wakizidi kutunga sheria kandamiz dhidi yetu, kikubwa wanachoangaliw wao ni sheria zitakazokuwa na manufaa kwao

Kweli Tozonia changamoto
 
wawakilishi wetu, wanatakiwa wahoji namna ya kupunguza ukali wa vitu kupanda bei
 
Umaskini mbaya sana!, ni sisi watu wa hali ya chini nd tunaoumia, wao na matoto yao wame relax wakila keki ya taifa na huku wakizidi kutunga sheria kandamiz dhidi yetu, kikubwa wanachoangaliw wao ni sheria zitakazokuwa na manufaa kwao

Kweli Tozonia changamoto
5a44914f4c1c44058d18537d444db6b5.jpg

Wala keki ya taifa wanakuambia ongezeko dogo
 
Back
Top Bottom