Bei ya Main swich za ABB

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,620
5,536
Waungwana salama jamani,mwenye kujua bei za main switch za abb ya Njia 12 yenye socket breaker yake..Je inauzwa kiasi gani
 
Aah hizo bei yake chee kabisa. kwa nini usinunue za china ? Unajua za china ni imported. japo ubora wake sio mzuri sana lkn imported ni important.
 
Waungwana salama jamani,mwenye kujua bei za main switch za abb ya Njia 12 yenye socket breaker yake..Je inauzwa kiasi gani

Single phase au 3phase? kama single phase isipungue 580,000 na Circuit breaker yake.
 
Back
Top Bottom