Bei ya Mafuta yapaa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya Mafuta yapaa!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ibrah, May 14, 2010.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  :mad2::mad2:

  Wadau, bei ya MAfuta (Petroli, Dizeli na Mafuta ya taa) zimepanda kinyama. Yaani Dizeli imefika hadi shs 1650/- kwa lita kutoka shs 1500/-, Petroli imefika shs 1,700/- kutoka shsn1,600/- kwa mwendo huu tutafika? Hapo tutegemee mfumuko mkubwa wa bei maana shilingi yetu nayo iko ICU. Ni bora tu-adopt kutumia dola kam Zimbabwe, pengine tutaweza kupata kaunafuu.
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  sipati picha harakati zitapoanza za wenye daladala kupandisha bei nasikia wanataka nauli za root ya kawaida ziwe 500 na zingine mpaka 1000 je kweli mfanyakazi aliyegombezwa na kikwete ataweza kuishi kweli na wafanyabiashara wa kubangaiza wataendelea kuwepo mijini kweli?
  bila ya kuanza kusafisha mafuta ghafi wenyewe na kutumia gesi yetu basi taifa hili linaenda kufa
   
Loading...