Usisahau nyanya zilituozea huku ndani! Unaikumbuka sababu?Watanzania ni watu wa ajabu sana. Kila siku wanalalamika kuwa Watanzania wamekuwa maskini. Serikali ikuchukua hatua kuwainua hao hao Watanzania wanalalamika tena. UKWELI UNABAKLI PALE PALE. HAKUNA NAMNA NYINGINE YA KUWASAIDIA WAKULIMA WETU ZA MAZO HAYO YA MBEGU ZA MAFUTA TUSIPOWEKA MAZINGIRA MAGUMU YA UINGIZAJI WA MBEGU KAMA HIZO NA MAFUTA YA KULA KUTOKA NJJE YA NCHI. HIVYO NDIVYO WANAVYOFANYA NCHI NYINGI ZILIZOPIGA HATUA. HIYO NDO FURSA HATA KWAKO, NENDA KAWEKEZE KATIKA KILIMO CHA ALIZETI, UFUTA, PAMBA NA MAWESE. SERRIKALI IMEKUHAKIKISHIA SOKO. HATUWEZI KUTUMIA AKIBA YA FEDHA NYINGI ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA YA KULA NJE YA NCHI WAKATI WAKULIMA WETU WANAZALISHA MBEGU HIZO HIZO NDANI YA NCHI.
Hapo ndo ilipo tofauti ya maendeleo na wivu, kuwa saloon car sio luxury tena, kwa usafiri upi wa umma mpaka ufikiri hivyo? Bil 180 zingeweza kuongeza km ngapi za barabara? Unajengea daraja la upande mmoja! Ongeza road network.capital goods zote ikiwemo matreka, tipa, machine za uzalishaji hazina kodi muda mrefu. Kama wewe una mtaji fanya biashara ya kuingiza matreka, mashine za kusindika, mashine za viwandani, mashiune za kurahisha kilimo mashambani n.k hazina kodi. Ila kama unataka kuingiza saloon car yako ili utuongezee foleni Dar hiyo tutaipiga kodo ya kufa.
Usisahau nyanya zilituozea huku ndani! Unaikumbuka sababu?
Sina hakika kama hilo ndilo jibu!hapo pia tunataka mjitokeze wenye mitaji muwekeze katika viwanda vya kusindika nyanya badala ya kuuza raw nyanya. Kazi ya serikali ni kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji ikiwemo hiyo ya kuweka kodi kwenye bidhaa zinazotoka nje kwa bidha ambazo pia inazalishwa ndani ya nchi ili kuwalinda waliowekeza katika sekta hiyo. Ukiwekeza katika kusindika nyanya tutaweka kodo katika nyanya zilizosindikwa kutoka nje ya nchi maana wewe utakuwa umetoa na ajira na soko la uhakika kwa walukima wetu wa ndani.
Mbona tuna viwanda vya majani ya chai nchini lakini kawaangalie wakulima walivyochakaaa kiuchumi.Ishu ni kuwepo kwa ushindani bidhaa za nje zije na za ndani zishindaneWatanzania ni watu wa ajabu sana. Kila siku wanalalamika kuwa Watanzania wamekuwa maskini. Serikali ikuchukua hatua kuwainua hao hao Watanzania wanalalamika tena. UKWELI UNABAKLI PALE PALE. HAKUNA NAMNA NYINGINE YA KUWASAIDIA WAKULIMA WETU ZA MAZO HAYO YA MBEGU ZA MAFUTA TUSIPOWEKA MAZINGIRA MAGUMU YA UINGIZAJI WA MBEGU KAMA HIZO NA MAFUTA YA KULA KUTOKA NJJE YA NCHI. HIVYO NDIVYO WANAVYOFANYA NCHI NYINGI ZILIZOPIGA HATUA. HIYO NDO FURSA HATA KWAKO, NENDA KAWEKEZE KATIKA KILIMO CHA ALIZETI, UFUTA, PAMBA NA MAWESE. SERRIKALI IMEKUHAKIKISHIA SOKO. HATUWEZI KUTUMIA AKIBA YA FEDHA NYINGI ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA YA KULA NJE YA NCHI WAKATI WAKULIMA WETU WANAZALISHA MBEGU HIZO HIZO NDANI YA NCHI.
Mbona tuna viwanda vya majani ya chai nchini lakini kawaangalie wakulima walivyochakaaa kiuchumi.Ishu ni kuwepo kwa ushindani bidhaa za nje zije na za ndani zishindane