Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

afsa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
1,986
Reaction score
1,592
Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu.

~ EWURA wameshindwa kusimamia bidhaa ya mafuta kushuka bei?

~ Mama anaridhika na kupanda bei ya mafuta inayopandisha bei za vyakula?

~ Wafanyabiashara wanaizidi nguvu serikali?

~ Vita huko Ukraine bado ni kisingizio cha bidhaa ya mafuta kupanda bei na vyakula kupanda bei?

Screenshot_20230317-092422_1.jpg
 
Pole mkuu, vitu 3 vifuatavyo ndivyo vina determine bei ya mafuta kwa nchi yako;thamani ya local currency against usd, soko la dunia kwa barrel, na local taxes
 
Kwa hiyo kushuka toka Us$100 hadi Us$65 haiwezi kuleta effect ya kushuka kwa bei in Tsh?
Kwamba hayo mafuta yakishuka huko na huku yashuke muda huo huo?

Marekani pekee ndio mafuta hubadilika kutokana na bei ya soko, na sababu kubwa ni kuwa anatumia ya kwake hapo hapo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hayajashuka ghafla leo, wakati mafuta hapa kwetu yakiuzwa zaidi ya tsh 3000/litre yakiwa Us$100 yamekuwa yakishuka taratibu hadi sasa yanauzwa Us$65 lakini huku kwetu bado bei iko palepale. Yanauzwa zaidi ya tsh 3000/lt
 
Pitia vizuri ulipotoa habari na kaulize mafuta ya Tz yalinunuliwa lini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo kushuka toka Us$100 hadi Us$65 haiwezi kuleta effect ya kushuka kwa bei in Tsh?
Yes/No, sasa nini thamani ya tsh against usd,na pia elewa kuna taxes nyingi tu na end of the day zinakuwa passed to consumers
 
Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu...
Msoga ameshatuita WANAFIKI

Yaani anatutukana watanzania ambao tunalipa kodi inayomlipa.masurufu yake.

Nchi hii seems inamilikiwa kwa hatimiliki na siyo katiba
 
Kwa hiyo kushuka toka Us$100 hadi Us$65 haiwezi kuleta effect ya kushuka kwa bei in Tsh?
Botswana wao ni 18P per Lita of diesel, hawana kodi nyingi,...fumba macho na fungua..mara waaaa Tanzania Lita ya diesel kuwa 18tshs kuanzia leo!
 
Kwamba hayo mafuta yakishuka huko na huku yashuke muda huo huo?

Marekani pekee ndio mafuta hubadilika kutokana na bei ya soko, na sababu kubwa ni kuwa anatumia ya kwake hapo hapo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu bei ya mafuta inapangwa kila mwezi,bei ya sasa ilitakiwa iwekwe kutegemea bei ya soko la dunia kwa mwezi uliopita, na WTI kwa sasa ni 68...usd per barrel of crude oil
 
Yes/No, sasa nini thamani ya tsh against usd,na pia elewa kuna taxes nyingi tu na end of the day zinakuwa passed to consumers
Wakati yakiuzwa Us$130 bei hapa kwetu ilikuwa zaidi ya tsh 3000, yaliposhuka na kufikia Us$100 hapa kwetu yalishuka kidogo, leo ni zaidi ya mwezi yamekuwa yakishuka kutoka Us$100 hadi Us$65 lakini kwetu hayashuki, kwani wakati ulee yaliposhuka USD haikuathiri thamani yetu ya fedha na hadi sasa haijaathiri thamani yetu ya fedha, pia wakati huo bei inashuka bado hizi taxes zilikuwepo, kwa nini bei in Tsh iendelee kusimama wakati huko Duniani ikiendelea kushuka na thamani yetu ya fedha bado inaendelea kujidhatiti?
 
Nchi ya kisenge sana hii.. ukiongea saana utamkufuru mungu tu.
 
Wakati yakiuzwa Us$130 bei hapa kwetu ilikuwa zaidi ya tsh 3000, yaliposhuka na kufikia Us$100 hapa kwetu yalishuka kidogo, leo ni zaidi ya mwezi yamekuwa yakishuka kutoka Us$100 hadi Us$65 lakini kwetu hayashuki...
Mmmmm Tanzania hii mkuu, nchi ya bila push back!!!,ila hizo sababu 3 ndizo zinazoamua bei ya mafuta ya ndani ya nchi, pole
 
Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu.

EWURA wameshindwa kusimamia bidhaa ya mafuta kushuka bei?

Mama anaridhika na kupanda bei ya mafuta inayopandisha bei za vyakula?

Wafanyabiashara wanaizidi nguvu serikali?
Vita huko Ukraine bado ni kisingizio cha bidhaa ya mafuta kupanda bei na vyakula kupanda bei?

View attachment 2554847
Nchi imekosa mwelekeo wa Kiongozi,kilichobakini kupiga siasa ata kwenye mambo ya msingi.
Kama taifa kubwa kama Marekani linapambana kurekebisha bei ya Nishati Ili kuokoa Uchumi wake sembuse Kijiji kikubwa cha wavuvi na Wafugaji(Tanzania)?
 
Mmmmm Tanzania hii mkuu, nchi ya bila push back!!!,ila hizo sababu 3 ndizo zinazoamua bei ya mafuta ya ndani ya nchi, pole
Ni sahihi. Lakini najiuliza mwaka jana December bei ilikuwa Us$113 , bei kwa hapa kwetu ilikuwa zaidi ya tsh 3000/ltr. Leo bei huko Duniani imeendelea kushuka na imefikia Us$65. Hii ni karibu nusu ya bei ya December. Najiuliza kwa nini leo hapa kwetu hawajashusha bei hata robo? Achilia mbali hiyo kushuka kwa bei karibu nusu huko Duniani ambapo hata hapa kwetu ilitakiwa iwe msereleko huo. Tatizo Nini? Serikali? CCM? Consumer?
 
Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu.

EWURA wameshindwa kusimamia bidhaa ya mafuta kushuka bei?

Mama anaridhika na kupanda bei ya mafuta inayopandisha bei za vyakula?

Wafanyabiashara wanaizidi nguvu serikali?
Vita huko Ukraine bado ni kisingizio cha bidhaa ya mafuta kupanda bei na vyakula kupanda bei?

View attachment 2554847
Ogopa Mungu na teknolojia watasema hawajapokea mzigo mpya
 
Back
Top Bottom