Bei ya mafuta mbona haishuki, EWURA wako wapi?

Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu...
Hii nchi ni very corrupt usitegemee chochote
 
Huko Duniani bei ya mafuta imeshuka sana. Huku kwetu bidhaa nyingi zinazidi kupanda bei kwa sababu nishati ya mafuta inayotumika katika kuzalisha na kusafirisha bidhaa iko juu...
Tanzania bei za bidhaa zikipanda huwa hazishuki tena hata kama wauzaji watapewa ile bidhaa bure! Bei haiwezi kushuka !! Watanzania ni watu wazuri sana huwa hawalalamiki !!
 
[emoji3][emoji3]
 
Hii nchi kuna shida. Mafuta yameshuka sana bei lakini hapa nchini bado bei ipo juu. Tatizo ni nini EWURA
 
Bei ya mafuta imeshuka Malawi ambayo yanapita Tanzania kwenda huko Tanzania Longo longo nyingi sana...mtanganywa sijui Rate ya Currency ila yakipanda siku hiyo hiyo itawaona Ewura na mabahasha yao kama wanaongea vitu vya maana kumbe wapo nyuma ya Wafanyabiashara wa mafuta...
 
Back
Top Bottom