Bei ya mafuta imeshuka

Ilitakiwa kushuka zaidi. Kwenye soko la dunia bei ya mafuta Iko chini sana. Nadhani tumeharibiwa na shilingi yetu kushuka thamani
 
Ila kupanda kwa bei ya mafuta (petroli) isiwe sababu ya kuacha kujaza full tank au kuanza kuweka mafuta ya elf 10.....

Jaza tanki, punguza safari zisizo na ulazima.
We unawaza ile gari yako ninayokuona nayo kwenye ofisi ya SAG😁😁😁😁?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…