Bei ya mafuta iliwahi kufika $120 ni hivi sasa ni chini ya robo ($29)

Testarossa

Member
Oct 27, 2015
5
1
Bei ya mafuta iliwahi kufika $120 ni hivi sasa ni chini ya robo ($29).

Makampuni ya mafuta yanaendelea kumiliki magari ya mafuta showroom aina ya Scania, Renualt n.k. wakati jana tu nimewasiliana na mwenzangu anayefanyakazi katika kampuni ya taifa ya mafuta huko Muscat Oman na amesema hali ni tete hivi sasa.
 
Last edited by a moderator:
Ng'ombe wa maskini hazai ndio haya, nchi nyingi sasa hivi zimegundua mafuta na zinajitutumua kutaka kuchimba hapo mzungu anafanya makusudi ili wazo la nchi changa kuwekeza huko lifutike waendelee ku run dunia. Haya ndio yanawafanya ccm wasiachie nchi kisa zenji ina mafuta.
 
I'M omezionya gulf states Saudi Arabia UAE Qatar Kuwait na Bahrain wajaribu kubana matumiz kwani wasipofanya hivyo baada ya miaka mitano ijayo austerity.

Ila hawa wajanja sana hawana hofu yeyote kwasabab wako benet Marekan. Kwasasa wanaikomoa Iran na Urus na wanaomba mafuta yazid kushuka bei. Ila katikati 2017 yatapanda baada ya kumkomoa kabisa Urus na Iran.

Anayetia huruma hapa ni Venezuela dah
 
Back
Top Bottom