Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

watanzania watu wa ajabu kweli hesabu hawajui sijui makampuni yana stock ya bei ya zamani na yamelipiwa kodi ni mpaka yaishe mnataka kutia watu hasara hapa
Stock gani inakaa mwaka mzima?
Umeambiwa toka yameanza kushuka sasa yapata mwaka
Stock ya bei kubwa ilishaisha yaliyopo yanapaswa kuuzwa bei ndogo.
Ewura shusheni bei.
 
mafuta huwa yanauzwa in US dollars which is stronger than Tsh so lazima tuta import kwa bei kubwa...Bad thing dollar itaendelea kuwa strong after the Fed raised interest rates in December....kitu cha muhimu ni serikali yetu pamoja na sisi wenyewe kupambana Tsh iongezeke thamani
Mkuu usichanganye mambo,haijashuka thamani ya dola,imeporomoka bei mafuta katika soko la dunia. Kwa hiyo bei inashuka kwa uwiano huo huo wa gap la thamani kati ya $ na Tzs. Nilitegemea bei mpya ya mafuta itangazwe kwa maslahi ya uchumi wa nchi. Ipungue hata 100 walau kwa super,hii ni economic booming kwa nchi zenye mipango na azma ya kweli.
Nchi hii kila kitu ni siasa
Hii nchi ingeongozwa na mh lowassa tungekuwa tumejikomboa lakin huyu wa sasa mikausho mikali tu
 
Pole mkuu ......kushuka au kuporomoka ni tangu miaaka 2013 , 2014. soma hapa chin

Mkuu umenielimisha sana Mungu akubaliki, asante sana


Oil price rebounds after falling below $28 a barrel
  • 18 January 2016
  • From the sectionBusiness
_87722142_87722141.jpg
Image copyrightGetty Images

The oil price has rebounded after falling below $28 a barrel as oil producers' group Opec predicted crude would mount a recovery this year.

Brent crude, used as an international benchmark, fell as low as $27.67 a barrel, its lowest since 2003, before recovering to trade at $28.86.

The price of US crude was $29.65 a barrel after hitting $28.36.


Investors fear the lifting of Western sanctions on Iran could worsen the existing oversupply problem.

Iran's deputy oil minister Roknoddin Javadi has expressed confidence the country can produce an extra 500,000 barrels per day.

Phillip Futures analyst Daniel Ang said the earlier price drop was due to concerns about Iran. "This means we will be seeing a bigger oil glut with Iranian crude exports coming back to the market," he said.

However, Opec said in its January market report that it expected to see the price of crude begin a rebalancing process in 2016.

The group forecast that in the next six months non-Opec members would be unable to sustain production because of the continuing low oil price.

Excess supply
The decision to lift the sanctions against Iran came on Sunday after the international nuclear watchdog, the IAEA, said Iran had complied with a deal designed to prevent it developing nuclear weapons.

Iran has the fourth largest proven oil reserves in the world, according to the US Energy Information Agency and any additional oil would add to the one million barrels a day of over-supply that has led to a more than 70% collapse in oil prices since the middle of 2014.

Analysts said Iran already had quite a lot of oil ready to sell.

"Iran has quite a large storage of oil at the moment. They are in a position to sell that if they choose to do so and increase supply quite quickly," said Ric Spooner, chief market analyst at CMC Markets.

The drop in the price of oil has been driven by oversupply, mainly due to US shale oil flooding the market.


At the same time, demand has fallen because of a slowdown in economic growth in China and Europe.

Historically, Opec has cut production to support prices. But led by Saudi Arabia, by far the group's most powerful member, the group has resolutely refused to trim supply this time.

Analysts expect supply to continue to outstrip demand over the next two years, which would keep prices low.

HSBC chief executive Stuart Gulliver said that he expected the price of oil to settle at between $25 and $40 in one year's time.

"Major producers are currently delivering 2-2.5 million barrels per day more than demand, so the question is how long they can continue to overproduce for at that level," he said, speaking at the Asia Financial Forum in Hong Kong.
 
watanzania watu wa ajabu kweli hesabu hawajui sijui makampuni yana stock ya bei ya zamani na yamelipiwa kodi ni mpaka yaishe mnataka kutia watu hasara hapa
Mkuu kodi inalipwa unapoenda kwenye pump na unapewa risit ya TRA, usipodai risit unampa faida zaidi
 
Watadai mafuta yaliyopo ni stock ya zamani, mpaka yaishe ndo watashusha bei, kwa hiyo tungoje mpaka mwezi wa kumi.
hiyo sio sahihi, in management/cost accounting price of materials already in stock is irrelevant for decision making , so relevant cost is current price in the market which is replacement cost. Nafikiri ewura kuna rushwa wanapewa ila kufanya sabotage kwa wananchi
 
hiyo sio sahihi, in management/cost accounting price of materials already in stock is irrelevant for decision making , so relevant cost is current price in the market which is replacement cost. Nafikiri ewura kuna rushwa wanapewa ila kufanya sabotage kwa wananchi
No doubt.., taifa linahujumiwa bila aibu
 
mafuta huwa yanauzwa in US dollars which is stronger than Tsh so lazima tuta import kwa bei kubwa...Bad thing dollar itaendelea kuwa strong after the Fed raised interest rates in December....kitu cha muhimu ni serikali yetu pamoja na sisi wenyewe kupambana Tsh iongezeke thamani
Sifahamu sana mambo ya thamani lakini kwa uelewa wangu mdogo kama mwanzo yalikua dola 150 na mafuta yalizwa 2000 na sasa ni yameshuka hadi dola 30 yanapaswa kuuzwa chini ya 800 kwa lita bila kuangalia thamani ya dola dhidi ya shilingi
 
Bei ya mafuta imeshuka hadi chini ya dola 28 kwa pipa licha ya kuwepo hofu kuwa kuondolewa kwa vikwazo vya Iran kutashusha bei zaidi kutokana na tatizo la uzalishaji mkubwa.

Bei za mafuta yasiyosafishwa katika soko la kimataifa zilishuka chini ya dola 27.67 kwa pipa ambayo ni bei ya chini zaidi tangu mwaka 2003 kabla ya bei tena kupanda kidogo na kuuzwa kwa dola 29,25 kwa pipa.

Bei ya mafuta yasiyosafishwa nchini Marekani ilishuka chini ya dola 29 kwa pipa hadi dola 28.86.

Kuondolewa kwa vikwazo vya Iran ina maana kuwa mapipa nusu milioni zaidi yatazalishwa kwa siku kulingana na wadadisi.

Uamuzi wa kuiondolea Iran vikwazo uliafikiwa siku ya Jumapili baada ya shirika la kimataifa la kudhibiti nishati ya nuklia IAEA kusema kuwa Iran imetekeleza makubaliano yanayozuia isiunde zana za nuklia.

Iran inachukua nafasi ya nne kati ya nchi zenye hifadhi kubwa zaidi ya mafuta duniani.

Chanzo: Bei ya mafuta yashuka zaidi - BBC Swahili
 
Back
Top Bottom