Mpaka sasa, bei ya mafuta duniani imepunguia katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa kwa maka kumi na mbili iliyopita, na kwa muda ilifika chini ya $30 kwa pipa.
Ajabu ni kwamba bei imepungua kiasi kidogo mno katika vituo vya mafuta na kwa kweli haionyeshi uhalisia ya bei kupungua katika soko la dunia kulinganisha na hapa nyumbani hata ukichukulia kupungua kwa thamani ya fedha yetu.
EWURA watupe sababu za kuridhisha kwa nini bei ya mafuta haipungia kwa kiwango cha kuridhisha hapa nyumbani, laa sivyo itabidi tuamini kuwa nao wanashirikiana na wenye vituo vya mafuta kutunyonya, wakineemeka kwa kuhongwa.

Visima vya mafuta
Bei ya mafuta katika soko la kimataifa imeendelea kushuka hadi kiwango cha chini kabisa ndani ya miaka 20 hadi sasa.
Kushuka kwa bei hiyo ya mafuta kimataifa kufikia kiwango cha chini ya dola 30 kwa pipa inatajwa kuwa ni matokeo ya kuongezeka kwa hifadhi ya mafuta nchini Marekani.
Kumekuwa na mtikisiko katika bei ya mafuta Duniani tangu mwaka 2014 ambapo matokeo yake ni kuongezeka kwa uzalishaji wa mafuta nchini Marekani na kupungua kwa uhitaji nchini China.
Hata hivyo wataalamu wa uchumi wanasema kuwa China umeingia katika uhitaji mdogo wa mafuta kutokana na kudorola kwa ukuaji wa uchumi wa taifa hilo.
Taarifa za kushuka kwa kasighafla kwa bei ya mafuta kimataifa kumesababisha kushuka kwa mauzo ya siku katika masoko makuu matatu ya hisa kwaununuzi kwa Zaidi ya asilimia mbili
Chanzo: BBC